Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

Mapokezi ya Nyerere huko Uingereza

Nyani Ngabu,

..ninavyoelewa mimi ni kwamba Mwalimu alikuwa anapata msaada mkubwa wa kiuchumi toka magharibi kuliko nchi nyingi ktk afrika.

..lakini Mwalimu huyo huyo alikuwa ni mkosoaji mkubwa na mpinzani nambari moja wa sera za mambo ya nje za nchi za magharibu na zaidi alikuwa mjamaa.

..sasa hawa viongozi wa leo wanafikiri kwamba ili tupate misaada au tupate wawekezaji toka magharibi ni lazima, lazima, tujikombe-kombe kwao na kuwapa rasilimali zetu kwa mikataba inayotuumiza.

..hayo ndiyo ambayo mimi yamenifikirisha sana nilipoangalia video hii.

cc Kimweri, Nyenyere, ZeMarcopolo, Kapwela, Nguruvi3, Kiranga, MOTOCHINI
 
Last edited by a moderator:
Sijui ni mwaka gani lakini kwa muonekano wa Nyerere [mvi na uso kuanza kuwa na makunyanzi[ naweza kusema labda ni miaka ya 70 mwanzoni mwanzoni.....

Nyerere alikuwa na influence kubwa Africa
so Western Nations walitambua kuwa ukitaka ku deal na Africa..deal na Nyerere
ndo maana hayo mapokezi alipewa Nyerere na later Mandela only

Hata first time Nyerere anaenda USA wakati wa Kennedy .mapokezi yalikuwa makubwa
Nyerere alipoanza kuwafuata Wachina na ku copy siasa za wachina ndo kidogo Westen Nations wakajaribu
kumpotezea ingawa walikuwa wanajua ana influence kubwa Africa..
 
Daah Nyani Ngabu.. Ahsante sana kwa hii.. Aliifanya Tanzania kupewa heshima ya juu.. Msimamo wake usioyumbishwa ulikuwa ni mwiba kwa watawala wengi..

Kitu pekee kinachonifanya nijivunia utanzania wangu kwa sasa ni kupata bahati ya kuwa karibu na kucheza halaiki mbele ya Mwl. Nyerere..
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu,

..ninavyoelewa mimi ni kwamba Mwalimu alikuwa anapata msaada mkubwa wa kiuchumi toka magharibi kuliko nchi nyingi ktk afrika.

..lakini Mwalimu huyo huyo alikuwa ni mkosoaji mkubwa na mpinzani nambari moja wa sera za mambo ya nje za nchi za magharibu na zaidi alikuwa mjamaa.

..sasa hawa viongozi wa leo wanafikiri kwamba ili tupate misaada au tupate wawekezaji toka magharibi ni lazima, lazima, tujikombe-kombe kwao na kuwapa rasilimali zetu kwa mikataba inayotuumiza.

..hayo ndiyo ambayo mimi yamenifikirisha sana nilipoangalia video hii.

cc Kimweri, Nyenyere, ZeMarcopolo, Kapwela, Nguruvi3, Kiranga, MOTOCHINI

That was when we were properly respected. With the barely intelect presidents we choose these days, no one will pay attention to us anymore. We are as clueless as clueless gets. Nyerere knew why we were poor and worked his pants off to achieve that. The current bunch of cronies only agenda is to get to the white house and serve their 10 year vacations.

JK would visit London and not even the damn BBC would show anything. He is simply not important, you should not expect parades across the Buckingham palace for these pretenders we have now. Nyerere was a proper president and he stood equal in front of anyone, for he had the intellect and the resolve to go through. The cronnies we have now would probably be convinced that they aren't even presidents if faced with a proper head.

Diplomatically, Tanzania is one example of an athlete who reached their prime earlier on in their careers and sort of plateaued there after.

We don't make Nyerere's anymore.., and as long as we keep this hopeless policy of electing president whoever kisses *ss the hardest we can forget about being relevant to anyone and any nation that matters for a long time. The legacy Neyerere built for us will not last forever.
 
Ukiwa kiongozi mwenye msimamo hata watu wanaotofautiana nawe watakuheshimu. Ukiwa mtu usiye na msimamo hata wanaokudharau watajifanya wana kuheshimu.

Pole sana mkuu kwa kuweka matumaini yako kwa hao ambao hatimaye wamekugeuka, sasa yule mtu wako mwenye msimamo akiubadili utafanyaje?
 
Hapa Nyerere akiikosoa Uingereza pia

Oh
, the irony of an African asking for fair elections to the white masters..,J*K can not dare utter those words.he will die in panick before they escape his jaws
 
Last edited by a moderator:
Ni kwamba Tanzania ya sasa imepoteza hadhi yake au???
 
Nyerere alikuwa na influence kubwa Africa
so Western Nations walitambua kuwa ukitaka ku deal na Africa..deal na Nyerere
ndo maana hayo mapokezi alipewa Nyerere na later Mandela only

Hata first time Nyerere anaenda USA wakati wa Kennedy .mapokezi yalikuwa makubwa
Nyerere alipoanza kuwafuata Wachina na ku copy siasa za wachina ndo kidogo Westen Nations wakajaribu
kumpotezea ingawa walikuwa wanajua ana influence kubwa Africa..

..hilo la kuwa na influence nakubaliana nalo.

..but I believe Tz earned that influence bcuz of our stand and the sacrifices we made.

..Nyerere alikuwa hasemi tu, alikuwa anatenda pia.

..sasa kuhusu hizi ziara labda tungetafuta na timeline ya ziara zenyewe.

..vilevile tunapaswa kumlinganisha na viongozi wenzake ambao walikuwa vibaraka wa nchi za magharibi kama Jomo Kenyatta, Mobutu Sese Seko, Arap Moi, Houphet Boigny, etc

..kwa kumbukumbu zangu Nyerere alikaribishwa kwa state visit in the US wakati wa Mzee Jimmy Carter. That was way after Nyerere had established relations with China.
 
Jamani mambo yamebadilika sana siku hizi. Miaka ya zamani kumuona rais mweusi ilikuwa big dili.
 
Sijui ni mwaka gani lakini kwa muonekano wa Nyerere [mvi na uso kuanza kuwa na makunyanzi[ naweza kusema labda ni miaka ya 70 mwanzoni mwanzoni.....

Its actually around 1975,when Wilson was British PM. Nyerere had proper respect. Hawa wapagazi wetu wa ikulu miaka ya karibuni wanachanganya kuchekewa na wazungu with respect. Nyerere, angekutana na hivi viwestern leaders vya siku hizi,wengi wangemgwaya. Nyerere was a first class statesman.Type ya Kina Putin, Kennedy, Thatcher etc.., you knew when you met him you are meeting a no nonsense and driven person.
 
Back
Top Bottom