Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

Njia pekee ya kujihakikishia kubaki kwenye cheo ni kujipendekeza kwa rais,hata Kama hakuna tija.
 
Na machinga wa Dar es Salaam watakuwepo ? πŸ’
 
Aibu itawafika.....

Chifu Hangaya ni NYOTA KWELIKWELI....πŸ’ͺ

Amewataka TRA kutumia akili kukusanya kodi na kuacha kutumia NGUVU ZILIZOPITILIZA NA ZISIZO NA WELEDI....hili nalo baya?!!! Khaaa 😲🀣

SIEMPREJMT
Ona hapa wawekezaji wanavyomiminika πŸ‘‡

Ukikipata kitumie...ukikikosa....... Viongozi wa nchi hii ni wapiga dili wakubwa, kila jambo kwa ni fursa kwao na huitumia kikamilifu.
 
ARDHI
WATU
SIASA SAFI
UONGOZI BORA

Kuna vitu viwili hatuna hapo
 
Ikohivi... Ukimsifu mtu kwatuvitu tudoogo hatohangaika kuwaza name kufanya makubwa!! Wapumbafu hilo huwa hawalioni
Wewe twako tukubwa tuko wapi? 😁😁

Mbona mlikuwa mnahamishia serikali nzima kuzindua stand,kuzindua tumitadi uchwara ambayo Saizi wanafanya mawaziri huko mikoani..

Hapo chini nimeweka screenshot inaonyesha jinsi gharama za figo zitashuka kwa 66% baada ya serikali kununua mashine za uchunguzi na tiba tena zitawekwa kwenye hospital za kawaida tuu.

Kazi ya mama hii hapa inaendelea πŸ‘‡

Ukweli una kawaida ya "kupanda ngazi".....

Kongole kwake CHIFU MKUU HANGAYAπŸ’ͺπŸ‘Š

#SiempreJMT
 
unatumia nini kufikiri?
 
Tuna safari ndefu sana kama jamii
 
Hizi ndio shughuli mzee wetu alikuwa hazifagilii maana ni mianya ya kujilipa tu hela! Warsha, semina sijui kongamano vyote lengo ni watu kugawana per diem ndio maana walikuwa hawampendi
 
Hizi ndio shughuli mzee wetu alikuwa hazifagilii maana ni mianya ya kujilipa tu hela! Warsha, semina sijui kongamano vyote lengo ni watu kugawana per diem ndio maana walikuwa hawampendi
Mbona alikuwa anashinda kwenye shughuli za kuzindua vyoo kila siku hadi mawaziri wakakosa.kazi ya kufanya?

Njiani anagawa pesa kwa wanavijiji,vipi hayakuwa matumizi mabaya ya pesa? Kulikuwa hakuna posho?

Wazee wa Nogwa 😁😁
 
Ile pesa yake ya raisi kutumia wewe, jamaa alikuwa anatembea kwa magari! Cost ya ku fuel ndege kwenye kila ziara huwezi ifananisha na zile gari! Mafuta ya ndege ni bei ghali mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…