Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi fuata ya hukoNimeamia Burundi dakika chache zilizopita.
Kwa hiyo hutaki tumpokee na kumpongeza Rais wetu au?Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki?
Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu?
Huu ni ufujaji wa kodi za walalahoi. Hizo gharama za hizi shughuli zingetumika kuwajengea wamachinga mnaowavunjia vibanda vyao maeneo mazuri wafanye biashara zao ili waondoke mabarabarani wanapofanyia biashara.
Kweli tulidhani kuwa tumemaliza kuyaona maajabu enzi za mwendazake kumbe sasa ndio tuna viongozi wanaojipendekeza kwa rais kiasi cha kufanya mambo yasiyo ya msingi kabisa.
Ongezeni tozo.
View attachment 1951669
Ona jinga hili Katiba mpya ndio inazuia mapokezi ya Rais?Duh 🙄 nadhani tunahitaji Katiba mpya haraka sana.
Matarajio kama yapi? Haya hapa chini ni matarajio ya mbupu zako? 👇Ukiona harakati za namna hii, ujue kuna jambo kiuongozi haliko sawa. Hivyo kuna makundi ya watu wanahangaika/wanalazimika kumtia moyo mama hata pale anapoharibu au ameshindwa kufikia matarajio ya Watanzania walio wengi
Kila siku mnahubiri mihimili ya nchi ISIINGILIANE.....Kama ni hivyo basi nchi iko kwenye fragmentation state. Hakuna coordination, kwa hiyo kila mtu anajiamulia kufanya anachoaka bila kugundulika, hakkkuna mfumo wa ufuatiliaji wa utendaji wa wateule, kitu ambacho naweza kukiamini iwapo tu utazidi kusema rais hajui kinachoendelea katika ofisi za serikali.
Hoja,
1.Unajua madhara ya wtu kukaa bila serikali ua kuwa na serikali isiyokuwa na kiongozi?
2. Kabla ya hapo, unachotaka kusema nikwamb serikali ni kubwa mno kwa mama, hawezi kuiongoza na ndiyo sababu amewaachiwa wateule wako wafanye bile watakavyo kwa kuw ahana namna ya kudhibiti wala kujua kile wafanyacho?
3. Kwa hizo habari, nani sasa ni kiongozi wa serikali ya nchi kama haiko fragmented?
🤣👍Ona jinga hili Katiba mpya ndio inazuia mapokezi ya Rais?
Uchizike mara ngapi ndugunikisikia jina la ccm tu !.jina langu linafanya kuwa chizi kukasilika
Mama atafunika Legacy zote regardless of kutafutiza visababu vya kijingaMkuu mbona hizo bilioni 60 zimeshatengwa kaka....
Tusiandikie mate muda UTAONGEA....
#SiempreJMT
#NakupendaTanzaniaNchiYaAmaniNaTulivuKulikoZoteAfrika
Wapigaji kwa sasa wanapata kirahisi fulsa kupiga hela ya umma. Kama wanathubutu waseme hela ngapi wanatumia kwa huu ujinga eti mapokezi ya mama toka UN. Nyerere mwenyewe kutoka uno kutudaia uhuru tulimpokea kwa matawi ya miti walala hoi wakaonyesha furaha sio mtu kaenda eti kuonesha yeye ndio rais mpya mwanamke tz mnataka kupiga hela kumpamba uongo.Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki?
Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu?
Huu ni ufujaji wa kodi za walalahoi. Hizo gharama za hizi shughuli zingetumika kuwajengea wamachinga mnaowavunjia vibanda vyao maeneo mazuri wafanye biashara zao ili waondoke mabarabarani wanapofanyia biashara.
Kweli tulidhani kuwa tumemaliza kuyaona maajabu enzi za mwendazake kumbe sasa ndio tuna viongozi wanaojipendekeza kwa rais kiasi cha kufanya mambo yasiyo ya msingi kabisa.
Ongezeni tozo.
View attachment 1951669
Mkuu umejawa hisia sana...Wewe upo Lumumba unasema zimeshatengwa. Sisi tuliopo shambani hizi ahadi tumekuwa tukizishuhudia tangu miaka ya 1980.
Maneno matupu,vitendo hamna.
Endelea kujitoa akili ili choo kiendelee kutumika.
Wewe ndondocha gharama umeona zipo wapi???Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki?
Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu?
Huu ni ufujaji wa kodi za walalahoi. Hizo gharama za hizi shughuli zingetumika kuwajengea wamachinga mnaowavunjia vibanda vyao maeneo mazuri wafanye biashara zao ili waondoke mabarabarani wanapofanyia biashara.
Kweli tulidhani kuwa tumemaliza kuyaona maajabu enzi za mwendazake kumbe sasa ndio tuna viongozi wanaojipendekeza kwa rais kiasi cha kufanya mambo yasiyo ya msingi kabisa.
Ongezeni tozo.
View attachment 1951669
Ndani ya muda mfupi AMEAJIRI vijana zaidi ya 8000 kupitia TAMISEMI +WIZARA YA AFYA....baada ya kupita miaka 6 bila ya AJIRA NYINGI......Mama atafunika Legacy zote regardless of kutafutiza visababu vya kijinga
😍Ni kuchanja mbuga tuu Kazi iendelee 👇
View attachment 1951891
View attachment 1951892
View attachment 1951893
View attachment 1951894
Kwa spidi hii tutarajie siku moja kutakuwa na pongezi ya Mheshimiwa kutoa ushuzi wenye sauti maridhawa. Maana kila kitu kimekuwa tukio la kitaifa.