OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Rais mswahili sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya itazuia watu kwenda Airport.?Duh 🙄 nadhani tunahitaji Katiba mpya haraka sana.
Muda muhimu ndugu, uzurulaji unadumaza nchi huku CCM wanaongoza kwenye kundi la watu wanaopenda kuzurula Afrika Mashariki na Kati.Kuna shida gani kumpokea mtu aliyetoka safari ya mbali mtu mwenyewe ni Rais wa nchi....mambo mengine siyo vibaya kupotezea mkuu wangu.
Unaposema "ametoa" inamaana katoa yakwake. Sema rais ameidhinisha. Acha kupotosha wajingaVuta pumzi Chalii.....🤣
"Kuidhinisha" fedha ya UMMA kwa ajili ya hayo nako ni maamuzi kuntu bwashee💪
Pesa ilifichwa sasa ivi wanatengeneza fursa za upigaji tuHii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki?
Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu?
Huu ni ufujaji wa kodi za walalahoi. Hizo gharama za hizi shughuli zingetumika kuwajengea wamachinga mnaowavunjia vibanda vyao maeneo mazuri wafanye biashara zao ili waondoke mabarabarani wanapofanyia biashara.
Kweli tulidhani kuwa tumemaliza kuyaona maajabu enzi za mwendazake kumbe sasa ndio tuna viongozi wanaojipendekeza kwa rais kiasi cha kufanya mambo yasiyo ya msingi kabisa.
Ongezeni tozo.
View attachment 1951669
Sio issue ya taswira hasi. Huyo huyo unaesema ana huruma mbona ameruhusu Mbowe amebambikiwa kesi ya uongo?Duuh😲😲😲🤣🤣
Aisee kweli una "TASWIRA HASI" ha ha ha
Karibu kahawa mkuu!
Na bado wanaongeza tozo ili wapige vizuri.Pesa ilifichwa sasa ivi wanatengeneza fursa za upigaji tu
Mnatuchosha sasa na kesi yenu ya Mbowe. Kila kitu Mbowe. Hiyo kitu iko mahakamani mbivu na mbichi zitajulikana tu.Sio issue ya taswira hasi. Huyo huyo unaesema ana huruma mbona ameruhusu Mbowe amebambikiwa kesi ya uongo?
Unachoshwa wewe kama nani? Na unataka tukae kimya ili iweje? Nyie ndio wale wale.Mnatuchosha sasa na kesi yenu ya Mbowe. Kila kitu Mbowe. Hiyo kitu iko mahakamani mbivu na mbichi zitajulikana tu.
Kujikomba komba kwingi serikali inaongozwa na machawa.Hapo wanatafuta gea ya kumlewesha mama na pombe ya masifa ili wajihakikishie mambo yao ila jambo jema ni vile wazanzibari huwa hawalewi kwa sifa.
Mimi kama muumini wa mahakama kama chombo cha hakiUnachoshwa wewe kama nani? Na unataka tukae kimya ili iweje? Nyie ndio wale wale.
Wanapokelewa kwa gharama ya nani hiyo ndio hoja ya msingi mzee. Shida sio kupokelewa. Hata wewe mbona ukirudi kutoka kazini unapokelewa na mumeo na wanao na hamna shida!Acha wivu wa kijinga, kama Simba, Yanga, Mwakinyo, Diamond na yule mgonjwa wa Ubelgiji huwa wanapokelewa why isiwe Rais ambaye ni nembo ya Taifa? Kuna watu wamekaa kupinga pinga tu kila kitu
Rais hahusiki 100% na kesi zilizoko mahakamani......Sio issue ya taswira hasi. Huyo huyo unaesema ana huruma mbona ameruhusu Mbowe amebambikiwa kesi ya uongo?
Hotuba gani ya kishajaa? Au zilikuwa mbili? Tanzania tuna mambo mengi ya kufanya jamani. Do not misuse the little resources we are gathering with tears.Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki?
Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu?
Huu ni ufujaji wa kodi za walalahoi. Hizo gharama za hizi shughuli zingetumika kuwajengea wamachinga mnaowavunjia vibanda vyao maeneo mazuri wafanye biashara zao ili waondoke mabarabarani wanapofanyia biashara.
Kweli tulidhani kuwa tumemaliza kuyaona maajabu enzi za mwendazake kumbe sasa ndio tuna viongozi wanaojipendekeza kwa rais kiasi cha kufanya mambo yasiyo ya msingi kabisa.
Ongezeni tozo.
View attachment 1951669
Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki?
Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu?
Huu ni ufujaji wa kodi za walalahoi. Hizo gharama za hizi shughuli zingetumika kuwajengea wamachinga mnaowavunjia vibanda vyao maeneo mazuri wafanye biashara zao ili waondoke mabarabarani wanapofanyia biashara.
Kweli tulidhani kuwa tumemaliza kuyaona maajabu enzi za mwendazake kumbe sasa ndio tuna viongozi wanaojipendekeza kwa rais kiasi cha kufanya mambo yasiyo ya msingi kabisa.
Ongezeni tozo.
View attachment 1951669
Wewe upo Lumumba unasema zimeshatengwa. Sisi tuliopo shambani hizi ahadi tumekuwa tukizishuhudia tangu miaka ya 1980.Mkuu mbona hizo bilioni 60 zimeshatengwa kaka....
Tusiandikie mate muda UTAONGEA....
#SiempreJMT
#NakupendaTanzaniaNchiYaAmaniNaTulivuKulikoZoteAfrika
Rais hahusiki 100% na kesi zilizoko mahakamani......
Huyohuyo ndiye aliyewaambia POLISI WASIONEE RAIA....
Huyohuyo ndiye aliyesema KESI ZISIZO NA MAANA ZIFUTWE.....
Huyohuyo ndiye aliyemteua Dr.Eliezer Feleshi....muda UTAONGEA.....