Mapokezi ya Rais Samia: Kwanini watendaji hawajaweka zulia jekundu, kiprotokali hili limekaaje?

Duh! Ngoja waje wazee wa kale ka chuo ka karibu na Jite
 
Timu ya itifaki huwa pia inatazama hitaji la Rais, kama yeye ataona siyo la lazima basi huwa na wao huweka kando. Zuria jekundu ni SIFA siyo suala la lazima la kiitifaki, Mama hapendi itifaki za sifa.
 
Ukipata kiongozi wa kiislam akawa na imani japo nusu ya dini yake hawana tabu na ukamkuta mwenye dini hasa mtaishi kama mbinguni,kifupi luxurious za duniani hazijawahi kumhadaa mcha Mungu kwake maisha ya dunia ni mapito ya muda mfupi sana haoni sababu ya kukera mtu mwingine.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
 
Dini, zulia jekundu na kukera watu wengine vina uhusiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…