Mapokezi ya Rais Samia: Kwanini watendaji hawajaweka zulia jekundu, kiprotokali hili limekaaje?

Mapokezi ya Rais Samia: Kwanini watendaji hawajaweka zulia jekundu, kiprotokali hili limekaaje?

Uhusiano upo tena mkubwa. Dini ya Kiislam haina mbwembwe, mambo ya ceremonial ni kidogo sana, na huchukuliwa kwa uzito mdogo sana, ndiyo maana hizo mbwembwe huwa si hoja sana kwa kiongozi aliyeiva dini. Ukifanya sawa, usipofanya sawa, lililo la msingi ni kujenga umoja, mshikamano na kufanya kazi.
Pia rejea matukio ya kiislam kama ndoa na misiba, ni simple sana!
Nashukuru mkuu Nilikuwa napata tabu kumjibu katika mambo yanayoonekana, najivunia kuwa Muislam.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Iseee...sasa kuna itifaki zipi mpaka awekewe zulia

Hapo anafanya safari zake za kawaida tuu sio ziara hizo wajamen
 
Sawa zulia halijawekwa mnaamuaje au mnashaurije?

Ova
 
Madame hana makuu wala kujikweza kweza kama washamba wengine.
Huoni hata mibunduki bunduki kaifyekelea mbali !!

Na hapendi uongo au unafik ndo maana alimwambia CAG ulimi husiwe mzito. Kama shirika bovu au zezeta sema tu husirembe wala kuogopa ...

Huyu hutamuona anagigida mahindi au kunywa alkasus hadharani... au hotuba za kila siku ktk madhabau !!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kina watu hawana kazi bali kuleta majungu kila kukicha kwa kufuatilia umbea wa vitu visivyo wahusu

Haya hawajaweka zuria amekufa au kadhurika?

Hawa ndiyo wanaosababisha bundle zipande matako yenu
Naweza kutabiri elimu yako, kwani protocal zote zinazofanyika kwa kiongozi zisipofanyika hao viongozi huwa wanakufa au inakuwaje? au wanao au wadogo zako wasipokusalimia kwanin huwa unanuna ? huwa utakufa au utakuwaje.
 
Back
Top Bottom