Acha jazba mkuu tofautisha muislam na anayeitwa muislam,kwani hawapo waislam wanaokula kitimoto au kunywa pombe lkn dini imekataza,na hayo makundi ya wahuni huko Libya,somalia hawapo ktk misingi ya uislam na uislam haujaelekeza hivyo fuatilia kumbuka si kila mtu anaeitwa Mohammed hassan basi wametimia katika uislam wao wengine ni majina tu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Hili nililisema hapa JF mwaka 2017:Timu ya itifaki huwa pia inatazama hitaji la Rais, kama yeye ataona siyo la lazima basi huwa na wao huweka kando. Zuria jekundu ni SIFA siyo suala la lazima la kiitifaki, Mama hapendi itifaki za sifa.
Anaishi na masnitch Ikulu.Samia lazima afukuze timu yote ya Itifaki na Habari Ikulu ili afanikiwe.
Amesema akiwa na nusu ya imani ya dini yake. Syria kuna wakristo karibu nusu kwa nusu.Hivi libya Sudan kusini hakuna waislam au Somalia vipi Yemen? Acheni mambo ya ajabu bana. Mama inaweza kua hulka yake lakini sio dini ndo inasababisha hayo. Nchi za ulaya nyingi ni za kikristo na ndo zinaongoza kwa amani na usawa maisha mazuri. Nao utasema viongozi ni waislam? PASAKA NJEMA
Pitia tena ile Video maarufu ya Jiwe akiwa anatoka Dom anakwenda Chato, uliona zulia jekundu?Tumezoea kuona viongozi wakubwa wakipokelewa kwa mazulia mekundu, kwanini kwa mama yetu haikuwa hivyo? Kiprotokali limekaaje hili wanabodi?View attachment 1742740
Duh...wajuaji mko wengi....dah....you are absolutely wrong, very wrong ..dah...mnateseka Sana kwa kweli...kujipendekeza kwenuhuku kwa Rais wetu mpya na anayetoka CCM siyo kwa kawaida...Timu ya itifaki huwa pia inatazama hitaji la Rais, kama yeye ataona siyo la lazima basi huwa na wao huweka kando. Zuria jekundu ni SIFA siyo suala la lazima la kiitifaki, Mama hapendi itifaki za sifa.
saafi mama atakula maisha kama sheiniMinne na mitano, mitisa
Waache, mama ananyoosha analogically, hana pupaTumezoea kuona viongozi wakubwa wakipokelewa kwa mazulia mekundu, kwanini kwa mama yetu haikuwa hivyo? Kiprotokali limekaaje hili wanabodi?View attachment 1742740
Unamaanisha kuwa Mwenda zake alipenda sifa???.Timu ya itifaki huwa pia inatazama hitaji la Rais, kama yeye ataona siyo la lazima basi huwa na wao huweka kando. Zuria jekundu ni SIFA siyo suala la lazima la kiitifaki, Mama hapendi itifaki za sifa.
Kwa hiyo unataka kusema kuwa Viongozi wa Serikali ambao ni Wakristo ni wapenda luxury na sifa??.Ukipata kiongozi wa kiislam akawa na imani japo nusu ya dini yake hawana tabu na ukamkuta mwenye dini hasa mtaishi kama mbinguni,kifupi luxurious za duniani hazijawahi kumhadaa mcha Mungu kwake maisha ya dunia ni mapito ya muda mfupi sana haoni sababu ya kukera mtu mwingine.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Umeona eenhh?!!!. Shida sana.Duh...wajuaji mko wengi....dah....you are absolutely wrong, very wrong ..dah...mnateseka Sana kwa kweli...kujipendekeza kwenuhuku kwa Rais wetu mpya na anayetoka CCM siyo kwa kawaida...
Mama yetu Mh.Rais nakuomba sana Uvae barakoa(Mask) na wasaidizi wako.Dini, zulia jekundu na kukera watu wengine vina uhusiano?
unasema zipo ziara nyingi Hayati amepata kufanya bila kuwekewa red carpet lakini ushahidi wa madai yako unatuwekea picha ya tukio moja tu...tuwekee hapa picha zake tofauti tofauti kuthibitisha madai yako.Sio kweli, itifaki sio matakwa ya mama Samia Bali inategemea na aina ya ziara.
Zipo nyingi tu ambazo magu pia walikuwa hawaweki red carpet
View attachment 1742821
Uhusiano upo tena mkubwa. Dini ya Kiislam haina mbwembwe, mambo ya ceremonial ni kidogo sana, na huchukuliwa kwa uzito mdogo sana, ndiyo maana hizo mbwembwe huwa si hoja sana kwa kiongozi aliyeiva dini. Ukifanya sawa, usipofanya sawa, lililo la msingi ni kujenga umoja, mshikamano na kufanya kazi.Dini, zulia jekundu na kukera watu wengine vina uhusiano?
Mkuu naweza kukubaliana na wewe,maana nimeona Mara nyingi USA president mpya hawatumii hii kituTimu ya itifaki huwa pia inatazama hitaji la Rais, kama yeye ataona siyo la lazima basi huwa na wao huweka kando. Zuria jekundu ni SIFA siyo suala la lazima la kiitifaki, Mama hapendi itifaki za sifa.
Ndugu kipya,mwishowe utakosa na na kichwa ibakie shingo,sii kwa kutaabika hivyo na hao jamaa.Tusubiri ufipa waite press waje na majibu!
Duh! We mtaalam wa namba,asante sana broNi mitano + mitano kumbuka kaanza 2021 machi hadi 2025 oktoba
Afu kiulainisaafi mama atakula maisha kama sheini
Well saidTimu ya itifaki huwa pia inatazama hitaji la Rais, kama yeye ataona siyo la lazima basi huwa na wao huweka kando. Zuria jekundu ni SIFA siyo suala la lazima la kiitifaki, Mama hapendi itifaki za sifa.