MchuoKa chuo
The "revolution "was not televised-Zanzibar is firmly in the drivers seat. Mapinduzi daima.Afu kiulaini
Nashukuru mkuu Nilikuwa napata tabu kumjibu katika mambo yanayoonekana, najivunia kuwa Muislam.Uhusiano upo tena mkubwa. Dini ya Kiislam haina mbwembwe, mambo ya ceremonial ni kidogo sana, na huchukuliwa kwa uzito mdogo sana, ndiyo maana hizo mbwembwe huwa si hoja sana kwa kiongozi aliyeiva dini. Ukifanya sawa, usipofanya sawa, lililo la msingi ni kujenga umoja, mshikamano na kufanya kazi.
Pia rejea matukio ya kiislam kama ndoa na misiba, ni simple sana!
Noma sanaHahahahahahahahahaha
Hii ni ngazi ya Taifa mzeeeee
Absolutely!The "revolution "was not televised-Zanzibar is firmly in the drivers seat. Mapinduzi daima.
Mtu akisha-husisha udini kwenye jambo la kisiasa jua upuuzi unamsumbua!Dini, zulia jekundu na kukera watu wengine vina uhusiano?
Kuna watu inabidi wakapumzishwe ili wakajiajiriTumezoea kuona viongozi wakubwa wakipokelewa kwa mazulia mekundu, kwanini kwa mama yetu haikuwa hivyo? Kiprotokali limekaaje hili wanabodi?View attachment 1742740
Hiyo haikuwa ziara ya kikazi,mama yupo mapumzikoni japo alipokolewa na viongozi wa mkoa,hivo hakukuwa na haja ya kuweka zulia.Tumezoea kuona viongozi wakubwa wakipokelewa kwa mazulia mekundu, kwanini kwa mama yetu haikuwa hivyo? Kiprotokali limekaaje hili wanabodi?View attachment 1742740
Mataga wenzio akili zishaanza kurudi. Msikilize Said Bagaile aka Kigwa boyTusubiri ufipa waite press waje na majibu!
Waanbieni kwenye ndege wafute ile kauli mbiu" hapa kazi tu" inaleta simanzi kwa sisi waombolezaji.Tumezoea kuona viongozi wakubwa wakipokelewa kwa mazulia mekundu, kwanini kwa mama yetu haikuwa hivyo? Kiprotokali limekaaje hili wanabodi?View attachment 1742740
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Madame hana makuu wala kujikweza kweza kama washamba wengine.
Huoni hata mibunduki bunduki kaifyekelea mbali !!
Na hapendi uongo au unafik ndo maana alimwambia CAG ulimi husiwe mzito. Kama shirika bovu au zezeta sema tu husirembe wala kuogopa ...
Huyu hutamuona anagigida mahindi au kunywa alkasus hadharani... au hotuba za kila siku ktk madhabau !!
Pole sana mkuu!Mataga wenzio akili zishaanza kurudi. Msikilize Said Bagaile aka Kigwa boy
Nahisi una homa kali sana wahi vipimo!Jiwe is no more hapo lumumba utakufa njaa
Minne na mitano, mitisa
Mwenye homa kali sana ashafukiwa tafuta mume uoleweNahisi una homa kali sana wahi vipimo!
Naweza kutabiri elimu yako, kwani protocal zote zinazofanyika kwa kiongozi zisipofanyika hao viongozi huwa wanakufa au inakuwaje? au wanao au wadogo zako wasipokusalimia kwanin huwa unanuna ? huwa utakufa au utakuwaje.Yaani kina watu hawana kazi bali kuleta majungu kila kukicha kwa kufuatilia umbea wa vitu visivyo wahusu
Haya hawajaweka zuria amekufa au kadhurika?
Hawa ndiyo wanaosababisha bundle zipande matako yenu
Wahi kituo cha afya kilicho karibu nawe!Mwenye homa kali sana ashafukiwa tafuta mume uolewe
Bwana yako amekufa kwa corona bado weweWahi kituo cha afya kilicho karibu nawe!