Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwinyi anaenda kushinda 90%Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, wamewasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho.
Luhaga Mpina mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Othman Masoud anayewania urais Zanzibar wamewasili leo Jumamosi Agosti 9, 2025 wakitokea jijini Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu uliowapitisha kuwania nafasi hizo.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa ACT Wazalendo, uliofanyika Agosti 6, 2025 jijini Dar es Salaam, walimpitisha Mpina kwa kura 559 sawa na asilimia 92.3 dhidi ya mshindani wake Aaron Kalikawe aliyepata kura 46 sawa na asilimia 7.7
Wakati Othman aliyekuwa mtiania pekee alipigiwa kura za ndio 606 sawa asilimia 99.5 ya kura zote zilizopigwa.
Mpina na Othman wamesindikizwa na mgombea mwenza wa umakamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Fatma Fereji, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho (Bara), Isihaka Mchinjita na Katibu Mkuu, Ado Shaibu.
Viongozi hao baada ya kuwasili mjini hapa watafanya metembezi katika barabara mbalimbali kuanzia eneo la Malindi, Darajani, Kisiwandui, Kisonge hadi Michenzani ambako watazungumza na wananchi.
Kushinda kwa 90% au kutangazwa mshindi kwa 90%?Mwinyi anaenda kushinda 90%
Wapo wanaotekwa kiakili kwa akili ndogo sanaProject ya CCM tu huyo Mpina.. Kumbe ziku zote alikuwa anatumwa kujifanya mpinga kristo ili aje aonekane shujaa aaminike na wadanganyika kama mpinzani wa System kumbe uongo...
Pole sana kijana siasa ya Zanzibar hujuiMwinyi anaenda kushinda 90%
Siasa ya Zanzibar mwenyewe maalim seif sio akina Omo. Leo bandarini waliokwenda kumpokea OMO wachache sanaPole sana kijana siasa ya Zanzibar hujui
Siasa ya Zanzibar mwenyewe maalim seif sio akina Omo. Leo bandarini waliokwenda kumpokea OMO wachache sanaPole sana kijana siasa ya Zanzibar hujui
Yaani leo unamuamini aliyekuwa katibu mwenezi chini ya marehemu Magufuli wewe mchawi? Ama kweli siku zinaenda mbio sana😂Pole pole keshatupa code moja muhimu sana kuhusu ACT
Kwa mara ya kwanza CCM inaenda kushinda Zanzibar, R.I.P MAALIM🙏
Njoo kisonge uone wacha ubishi siasa ya Zanzibar hujui pole sanaSiasa ya Zanzibar mwenyewe maalim seif sio akina Omo. Leo bandarini waliokwenda kumpokea OMO wachache sana
Wewe inaonyesha ni mgeni wa siasa za Zanzibar tangu lini ccm ikashinda kwa kura Zanzibar?pole sanaKwa mara ya kwanza CCM inaenda kushinda Zanzibar, R.I.P MAALIM🙏
Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, wamewasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho.
Luhaga Mpina mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania na Othman Masoud anayewania urais Zanzibar wamewasili leo Jumamosi Agosti 9, 2025 wakitokea jijini Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu uliowapitisha kuwania nafasi hizo.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa ACT Wazalendo, uliofanyika Agosti 6, 2025 jijini Dar es Salaam, walimpitisha Mpina kwa kura 559 sawa na asilimia 92.3 dhidi ya mshindani wake Aaron Kalikawe aliyepata kura 46 sawa na asilimia 7.7
Wakati Othman aliyekuwa mtiania pekee alipigiwa kura za ndio 606 sawa asilimia 99.5 ya kura zote zilizopigwa.
Mpina na Othman wamesindikizwa na mgombea mwenza wa umakamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Fatma Fereji, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho (Bara), Isihaka Mchinjita na Katibu Mkuu, Ado Shaibu.
Viongozi hao baada ya kuwasili mjini hapa watafanya metembezi katika barabara mbalimbali kuanzia eneo la Malindi, Darajani, Kisiwandui, Kisonge hadi Michenzani ambako watazungumza na wananchi.
Njoo kisonge uone wacha ubishi siasa ya Zanzibar hujui pole sana
Wewe inaonyesha ni mgeni wa siasa za Zanzibar tangu lini ccm ikashinda kwa kura Zanzibar?pole sana
Hili ni neno. Hivi utaratibu wa kusimamiwa uchaguzi wa ndani na UN huwa upoje?Kushinda kwa 90% au kutangazwa mshindi kwa 90%?
Wewe huna unalojua kuhusu siasa za Zanzibar pole sanaHamana kitu kule, siasa za Zanzibar aliondoka nazo Maalim Seif. Jussa angeweza kumaintain ila wamempa mwanaccm OMO.