GE2025 Mapokezi ya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo, Mpina na Othman, Unguja-Zanzibar kujitambulisha

GE2025 Mapokezi ya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo, Mpina na Othman, Unguja-Zanzibar kujitambulisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Zanzibar kufanya Nini TENA HAO act wazalendo zanzibar WALIDAI hawataki muungano SA MBONA wazanzibar hamueleweki. Sasa HIVI mama YUPO madarakani NDO muda SAHIHI WA kuvunja muungano mmekaa KIMYA akoingia mwingne kelele zinaanza fanyeni SASA



Kwishaaaaa
Hii point kubwa sana hii
 
Back
Top Bottom