B bin haroub JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 1,894 Reaction score 947 Aug 9, 2025 #21 econonist said: Mwaka huu CCM itashinda kwa uhalali. Maana OMO ni mwana CCM kama Mpina. Click to expand... Wewe hujui kitu kuhusu siasa za Zanzibar
econonist said: Mwaka huu CCM itashinda kwa uhalali. Maana OMO ni mwana CCM kama Mpina. Click to expand... Wewe hujui kitu kuhusu siasa za Zanzibar
B Benjamin Sesko New Member Joined Aug 7, 2025 Posts 3 Reaction score 0 Aug 9, 2025 #22 bro alex said: Zanzibar kufanya Nini TENA HAO act wazalendo zanzibar WALIDAI hawataki muungano SA MBONA wazanzibar hamueleweki. Sasa HIVI mama YUPO madarakani NDO muda SAHIHI WA kuvunja muungano mmekaa KIMYA akoingia mwingne kelele zinaanza fanyeni SASA Kwishaaaaa Click to expand... Hii point kubwa sana hii
bro alex said: Zanzibar kufanya Nini TENA HAO act wazalendo zanzibar WALIDAI hawataki muungano SA MBONA wazanzibar hamueleweki. Sasa HIVI mama YUPO madarakani NDO muda SAHIHI WA kuvunja muungano mmekaa KIMYA akoingia mwingne kelele zinaanza fanyeni SASA Kwishaaaaa Click to expand... Hii point kubwa sana hii