Kajolijo JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,364 Reaction score 4,612 Dec 8, 2018 #1 Hawa jamaa kusema ukweli wanakubalika sana utadhani ni Obama kaja
LICHADI JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 4,491 Reaction score 12,560 Dec 8, 2018 #2 Hatari sana
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,654 Dec 8, 2018 #3 Ok nafurahi kuona vijana wa hip hop wanapata riziki walikuwa na hali ngumu
Kajolijo JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,364 Reaction score 4,612 Dec 8, 2018 Thread starter #4 Victor wa happy said: Ok nafurahi kuona vijana wa hip hop wanapata riziki walikuwa na hali ngumu Click to expand... Kweli n mapinduzi ya burudani.. Navuta picha na mawingu wangekua mikoan hadi sasa wangeshakata tamaa ad sahz
Victor wa happy said: Ok nafurahi kuona vijana wa hip hop wanapata riziki walikuwa na hali ngumu Click to expand... Kweli n mapinduzi ya burudani.. Navuta picha na mawingu wangekua mikoan hadi sasa wangeshakata tamaa ad sahz
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Dec 8, 2018 #5 Ndio muache kumfananisha Diamond na mambo ya kijinga.
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Dec 8, 2018 #6 Ila Sumbawanga hawakawii kushusha mvua ya maana na radi juu.😀😀
Kajolijo JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,364 Reaction score 4,612 Dec 8, 2018 Thread starter #7 Mshuza2 said: Ila Sumbawanga hawakawii kushusha mvua ya maana na radi juu.😀😀 Click to expand... Kwa mahaba ayo hawawezi....
Mshuza2 said: Ila Sumbawanga hawakawii kushusha mvua ya maana na radi juu.😀😀 Click to expand... Kwa mahaba ayo hawawezi....
uchungu JF-Expert Member Joined Jan 10, 2014 Posts 337 Reaction score 883 Dec 8, 2018 #8 Hii inadhihirisha ni kias vijana wa kitanzania weng hawana kaz za kufanya
Kajolijo JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 3,364 Reaction score 4,612 Dec 11, 2018 Thread starter #9 uchungu said: Hii inadhihirisha ni kias vijana wa kitanzania weng hawana kaz za kufanya Click to expand... Kazi za kufanya jumapili mkuu?
uchungu said: Hii inadhihirisha ni kias vijana wa kitanzania weng hawana kaz za kufanya Click to expand... Kazi za kufanya jumapili mkuu?