Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Warumi ni halfcastyeah, kwani sio wakike mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warumi ni halfcastyeah, kwani sio wakike mkuu?
Sasa hiv wameshasolve bifu lao so unaona diamond anapata nafasi ya kuongea na watoto wakeZari naye katia timu Bongo au bado anatingisha KIBERITI hivyo kabaki RSA? Ila mie nawapenda hawa WAKIOANA itakuwa bomba sana
jibu lako ni tata mkuu, u mean halfcast wa rangi or jinsia?Warumi ni halfcast

Aisee safi sana mkuu,Sasa hiv wameshasolve bifu lao so unaona diamond anapata nafasi ya kuongea na watoto wake
Wakuu achana na hela.
Jamaa yangu mmoja anashtua misuli kwa mmoja ya wale wasanii wa kike wa WCB kwa hiyo huwa ana access na baadhi ya vitu vya WCB ambavyo havijawa tayari kwa matumizi ya umma.
Jamaa mtoto wa kike alipokuja kumtembelea ghetto alifanikiwa kuona ratiba na orodha ya mapokezi yatakvyokuwa kwa watoto wa Mondi toka South Africa mpaka Tanzania wakuu ni kufuru.
Nawapa summary tu .
Kwa sababu ya mipaka kufungwa na tafrani za hapa na pale, madogo watakuja kwa helkopta mpaka Nakonde ambapo watamaliza taratibu zote za uhamiaji, baada ya hapo dude litaamka mpaka mjini Dar es Salaam ambapo maafisa wa afya watakuwa wanawasubiri ambapo baada ya kukamilisha mama yao ataongea na waandishi wa habari ambao watakuwa kwenye vibooth vya vioo ambavyo tayari vimejengwa pale WCB tower huku Zari akiwa mita 10 kutoka waandishi hao.
Baadae familia itakaa karantini kwa siku 14 kabla ya kuelekea Madale ambapo itaangushwa bonge la pati huku wasanii kadhaa wa WCB wakiperfom mbele ya mashabiki wasiozidi 50 ambao nao watakuwa na vyeti vinavyoonesha mizunguko yao yote kwa siku 14 zilizopita na cheti cha kuonesha walipima Corona na wako fit kujumuika.
nawakumbusha kujikinga na Corona Corona Ina uwaWakuu achana na hela.

Mzee kwani ujajiunga na Instagram?uko ndo kila kitu kipoAisee safi sana mkuu,
Na mama dangote vipi anasemaje kaka?
Mzee kwani ujajiunga na Instagram?uko ndo kila kitu kipo
tatizo la umbeya wa midume hua haunogi angekua kauleta dada warumi nadhani ungekua hot sana
kama ni me basi ni wa pekee sana, maana kwa uchambuzi wa nyuzi za udaku ni ngum sana kujua kama ni me