Mapokezi ya Wema tishio

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Wadau nawasalimu,

Baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalumu singida, Wema Sepetu anapokelewa muda huu na washabiki wake kwa shamra shamra za kukata na shoka. Msafara huu unaanzia kimara baruti kuelekea nyumbani kwa wema. Mashabiki hawa wamekodisha ngoma, wamekodisha usafiri wa coaster za kutosha, magari binafsi madogo mengi, pamoja na mlo Wa jioni kwa ajili ya watu wote waliopo kwenye msafara Wa mapokezi.
Pia mashabiki hawa walichanga Pesa zaidi ya milioni 4 za kitanzania ili kumuunga mkono mgombea huyu kipindi cha kampeni.

Mashabiki wamesongamana eneo la barabara kiasi cha kuzuia magari kupita.
Picha zaidi zitafuatia.
 
Nilichojifunza ni kwamba kila mtu ana washabiki wake. Hawa watu walijichanga wenyewe bila kushurutishwa na mtu bila hata kumjulisha Wema. Yani kwa kifupi wamemshangaza hata Wema.
 

Attachments

  • 1437922465334.jpg
    36.7 KB · Views: 5,740
  • 1437922475220.jpg
    47.5 KB · Views: 5,461
  • 1437922485720.jpg
    46.2 KB · Views: 5,449
  • 1437922498892.jpg
    37.9 KB · Views: 5,402
Wema ana watu wanaompenda pamoja na dramma zake zote hizo... Sidhani kama safari ya kisiasa ya wema itaishia kwenye kukatwa... Hata kwa Papuchi Wema ataenda mjengoni au kupata kitengo ... Lets see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…