Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Wadau nawasalimu,
Baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalumu singida, Wema Sepetu anapokelewa muda huu na washabiki wake kwa shamra shamra za kukata na shoka. Msafara huu unaanzia kimara baruti kuelekea nyumbani kwa wema. Mashabiki hawa wamekodisha ngoma, wamekodisha usafiri wa coaster za kutosha, magari binafsi madogo mengi, pamoja na mlo Wa jioni kwa ajili ya watu wote waliopo kwenye msafara Wa mapokezi.
Pia mashabiki hawa walichanga Pesa zaidi ya milioni 4 za kitanzania ili kumuunga mkono mgombea huyu kipindi cha kampeni.
Mashabiki wamesongamana eneo la barabara kiasi cha kuzuia magari kupita.
Picha zaidi zitafuatia.