povu limekutoka Kisa wema kupokelewa.haya em twambie hilo povu la sabuni gani arial au omo?
Teh Teh hivi wame muandalia mapokezi kwa kuwa amefanya nini cha maana?
Aiseee
CUTE BE respect..pongezi sana kwa wema..atafika anapotaka kwenda as long as she has the guts to try...ma haters wanywe sumu!!Yaah huyu ndiye my kipenzi. Wanawake tunaweza atiii.
Watu nyongo zimewatoka na wakati hata hela ya chai hamna. Heheheiyaaaaaaaaaaaa kwenye maisha kuna kupata na kukosa kufeli na kufaulu. Safari ya madam wema ndio kwanza imeanza na Mungu ni mwema atamfanikisha kwa kila jambo.
Mgawa ridhiki ni Mungu pekee.
Kabla hujamnyooshea kidole le madame hakikisha kidole chako ni kisafi.View attachment 271647View attachment 271648
Hahahahahah mbona hayo mapokezi sio makubwa vileeee haya bana angeshinda tusingepumua😛😛😝😝😜😜🙆
CUTE BE respect..pongezi sana kwa wema..atafika anapotaka kwenda as long as she has the guts to try...ma haters wanywe sumu!!