Mapokezi ya Wema tishio

Mapokezi ya Wema tishio

povu limekutoka Kisa wema kupokelewa.haya em twambie hilo povu la sabuni gani arial au omo?

na wewe nae povu linitokeee nini

kulipa watu kuendesha piki piki kwa maili moja na kuomba wa mitaaani wawafate

haujui unalonambia ukweli ndio huoooo penda usipende nawe ndio yule nini nilikuona pichani umechokaaaa na kupewa maji ya pakiti kote ukawa bado hoi?
 
Nature ya sisi binadamu ni yaajabu kwelikweli.usichokipenda wewe mwingine anakipenda.wanaompenda wema sepetu wanampenda the way she is and what she is doing..angekuwa tofauti wala asingepata attention yote hii..wema atafika mbali sana for sure..Way to go Wema,usiwasikilize haters!!!
 
Yaah huyu ndiye my kipenzi. Wanawake tunaweza atiii.
Watu nyongo zimewatoka na wakati hata hela ya chai hamna. Heheheiyaaaaaaaaaaaa kwenye maisha kuna kupata na kukosa kufeli na kufaulu. Safari ya madam wema ndio kwanza imeanza na Mungu ni mwema atamfanikisha kwa kila jambo.
Mgawa ridhiki ni Mungu pekee.
Kabla hujamnyooshea kidole le madame hakikisha kidole chako ni kisafi.View attachment 271647View attachment 271648
CUTE BE respect..pongezi sana kwa wema..atafika anapotaka kwenda as long as she has the guts to try...ma haters wanywe sumu!!
 
CUTE BE respect..pongezi sana kwa wema..atafika anapotaka kwenda as long as she has the guts to try...ma haters wanywe sumu!!

Asante mkuu.
Wanaomchukia Wema watangulie kaburini maana akianza kufa madam kaburi bado litawakera
 
Back
Top Bottom