babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Bado...Hivi hajajifungua tu??
mkuu upo ??Hapo kakatwa...je angepita???
Unajua kwenye hili kuna aina ya watu si kutegemea kuwaona ..hawa ni wale ambao wakisikia kelele yeyete mjini wanatokea umbeya .com
Wange kodi hadi mabasi ya aboodHapo kakatwa...je angepita???
Walio comment wengi ni wanaume
Na comment zao ni chuki tupu , Je Wema amewanyima nini?
Daa walichanga Million 4Hawa ni wajinga wengine katika kiwango cha juu cha ujinga
Moja ya miji michache duniani yenye vilaza wengi basi Dar Tz moja wapo
Ushabiki maandazi tuu mbona akitoa movie zinamdodea.
KidingiAna mambo ya ajabu sana huyu mtu huwa sipendi unafiki wake kati ya chibu na kiba na jins anavyo watreat wenzake ni sababu tosha ya kutokukubalika na sio chuki kwangu mimi
Teh TehWalio comment wengi ni wanaume
Na comment zao ni chuki tupu , Je Wema amewanyima nini?
Kidingi
Anawatreat vipi ao wenzake
Kama anawatreat vibaya
Je kwanini anawafanyia hivyo ? Lazima kuwe na sababu
Teh Teh
Mkuu umenichekesha sana kwani Wema ana toa nini mpaka awanyime?
mpastaDuuh kama ndio mtoto wangu namuona hapo na home atahama akalime kijijini
Daa walichanga Million 4
Mtu asiye na ajira anaweza kodisha hivyo vyote hapo juu? Alafu Leo weekend waajiriwa wako mapumziko. Kila mtu na watu wake. Hakuna binadam anayekosa wawili watatu Wa kumpenda.
Mie naona kama waliandaliwa hao watu. Coz sielewi walijuaje Wema atapita siku hii, muda wa kupita mpaka na gari anayotumia wameijuaje watu wa kimara. Hizi ni katika kutafuta kuandikwa na magazeti.