Mapokezi ya Wema tishio

Mapokezi ya Wema tishio

Ana mambo ya ajabu sana huyu mtu huwa sipendi unafiki wake kati ya chibu na kiba na jins anavyo watreat wenzake ni sababu tosha ya kutokukubalika na sio chuki kwangu mimi
Kidingi
Anawatreat vipi ao wenzake
Kama anawatreat vibaya
Je kwanini anawafanyia hivyo ? Lazima kuwe na sababu
 
Last edited by a moderator:
Duuh kama ndio mtoto wangu namuona hapo na home atahama akalime kijijini
 
Kidingi
Anawatreat vipi ao wenzake
Kama anawatreat vibaya
Je kwanini anawafanyia hivyo ? Lazima kuwe na sababu

Sawa lazima kuwe na sababu but sipendi perception yake maana inakuwa kama anajiona yeye ndio kila kitu kama uliona jinsi anavyomuongelea kajala huwezipinga hili....

The same goes to aunt ezekiel kibaya zaidi anachukuliwa na msafi kitu kinachopelekea wao kugombana saana kisa tu anataka anachokichukia yeye na mwenzake asikipende

Hatukatai ni kawaida kila mtu anamapungufu ila huyu mtu anajiona sana ni vizuri tu amekatwa ✂✂✂
 
Last edited by a moderator:
Daa walichanga Million 4

yaani wanapoteza muda kwenda eti kumpokea mtu Muuza K

Aliyeshindwa kura za maoni za VITI MAALUM ....Tena mtu wa nne

Mtu mwenye kashfa za ajabu ajabu asiyefaa kuigwa na jamii iliyostaarabika

Mimi nashangaa sana...Kuna tatizo kubwa la Ajira tanzania

Pia kuna tatizo kubwa sana la Ujinga Tanzania
 
Mtu asiye na ajira anaweza kodisha hivyo vyote hapo juu? Alafu Leo weekend waajiriwa wako mapumziko. Kila mtu na watu wake. Hakuna binadam anayekosa wawili watatu Wa kumpenda.

Mie naona kama waliandaliwa hao watu. Coz sielewi walijuaje Wema atapita siku hii, muda wa kupita mpaka na gari anayotumia wameijuaje watu wa kimara. Hizi ni katika kutafuta kuandikwa na magazeti.
 
Mie naona kama waliandaliwa hao watu. Coz sielewi walijuaje Wema atapita siku hii, muda wa kupita mpaka na gari anayotumia wameijuaje watu wa kimara. Hizi ni katika kutafuta kuandikwa na magazeti.

Acha wivu mtt wa kiume,sasa ww ni team wema hadi ujue??
 
Back
Top Bottom