Mtu asiye na ajira anaweza kodisha hivyo vyote hapo juu? Alafu Leo weekend waajiriwa wako mapumziko. Kila mtu na watu wake. Hakuna binadam anayekosa wawili watatu Wa kumpenda.
Sawa lazima kuwe na sababu but sipendi perception yake maana inakuwa kama anajiona yeye ndio kila kitu kama uliona jinsi anavyomuongelea kajala huwezipinga hili....
The same goes to aunt ezekiel kibaya zaidi anachukuliwa na msafi kitu kinachopelekea wao kugombana saana kisa tu anataka anachokichukia yeye na mwenzake asikipende
Hatukatai ni kawaida kila mtu anamapungufu ila huyu mtu anajiona sana ni vizuri tu amekatwa ✂✂✂
Mtu asiye na ajira anaweza kodisha hivyo vyote hapo juu? Alafu Leo weekend waajiriwa wako mapumziko. Kila mtu na watu wake. Hakuna binadam anayekosa wawili watatu Wa kumpenda.
Kila mtu na akipendacho ka vile mashabiki wa simba, Real Madrid. Hongera yake kwa kupata die hard fans
tuache unafiki...!!! WEMA nae ni msanii ana mashabiki wake..!!! kwanini wasimpokee...! kila mtu na watu wake...!!
acheni kuwatukana mashabiki wa mtu...!!!
mkuu upo ??
Tanzanian sweetheart
Kick za kijinga. Ndo ujinga walitaka kuupeleka bungeni?
Binadamu hawana jema no is perfect chini ya juatena ni wanafki wa hali ya juu...
kwa kua ni wema ndo maana!!
kuna watu wana roho mbaya sana humu!
Kujua anakujaje na lini meneja Wa Wema kazi yake nini?Mie naona kama waliandaliwa hao watu. Coz sielewi walijuaje Wema atapita siku hii, muda wa kupita mpaka na gari anayotumia wameijuaje watu wa kimara. Hizi ni katika kutafuta kuandikwa na magazeti.
Binadamu hawana jema no is perfect chini ya jua
Kujua anakujaje na lini meneja Wa Wema kazi yake nini?
Kama huamini basi. Ila kuna kundi whatsapp la team Wema ni hatari. Kiingilio na michango ya kila mwezi ni nusu ya mshahara wako. Group lina members Wa rika zote, wa Tanzania walioko nchi tofauti n.k. eti washindwe kujichanga milioni ya mapokezi au milion 4 ya kumsapoti kwenye kampeni?? Km hupendwi ni wewe.
mine kuna kitu unajua nimejifunza..
kuna watu hapa duniani wameumbwa kuja kukatisha wenzao tamaa tu..
yani wako hvyo hawabadiliki na hawatobadilika
roho zao ni visasi na vinyongo they will never appreciate chochote ufanyacho as long as they hate uu
sijui huyu wema ana mabaya gani makubwa kwa waTZ baadhi mpk wamchukie hvyoo..
ila wakumbuke wao ni wazazi wa baadae tena watakua na mabinti au vijana MUNGU atawaonyesha tuuu
natamani nione malezi yao au the way they ar raising their kids..
they pretend to be so perfect...!!
WEMA BE WEMA FANYA WEMA NILIKUA NI MIONGONI MWA WASIOKUKUBALI BUT NOW NAKUKUBALI SANA
naimani hakuna kinachoshindikana duniani...MUNGU yupo nawe haya maneni yetu,sie wasaga sumu fanya km vile ndo silaha ya mapambano yako!!utafika tuu!!
Change for good. Sisi pia ni wanawake, tutazaa/tumezaa unapomlaani Wa mwenzako hujui wako atakuwaje. Unaandalia wanao laana bila kujua. Me huku celeb km sina cha maana cha kuposti ukweli sitakuja. Nimechoka kuchuma dhambi za kujitakia. Kukashifu na kuwanyima raha watu wasio na hatia. Muache Mungu awahukumu kwa mabaya yao.
Chaguo la watu watasema,meneja wake kadinywa alikuwemo pale na group lote toka mchana.Mie naona kama waliandaliwa hao watu. Coz sielewi walijuaje Wema atapita siku hii, muda wa kupita mpaka na gari anayotumia wameijuaje watu wa kimara. Hizi ni katika kutafuta kuandikwa na magazeti.