mine kuna kitu unajua nimejifunza..
kuna watu hapa duniani wameumbwa kuja kukatisha wenzao tamaa tu..
yani wako hvyo hawabadiliki na hawatobadilika
roho zao ni visasi na vinyongo they will never appreciate chochote ufanyacho as long as they hate uu
sijui huyu wema ana mabaya gani makubwa kwa waTZ baadhi mpk wamchukie hvyoo..
ila wakumbuke wao ni wazazi wa baadae tena watakua na mabinti au vijana MUNGU atawaonyesha tuuu
natamani nione malezi yao au the way they ar raising their kids..
they pretend to be so perfect...!!
WEMA BE WEMA FANYA WEMA NILIKUA NI MIONGONI MWA WASIOKUKUBALI BUT NOW NAKUKUBALI SANA
naimani hakuna kinachoshindikana duniani...MUNGU yupo nawe haya maneni yetu,sie wasaga sumu fanya km vile ndo silaha ya mapambano yako!!utafika tuu!!