Mapokezi ya Wema tishio


Hongera kwa kubadili uamuzi wako juu yake kwakua we umechange basi jua kuna ambao bado hawajachange pia hivo bado hawamkubali, kwani kipi kilikufanya usimkubali hapo nyuma madame?
sijaona cha kufanya nimchukie kihvyo maana hajawahi hata kunikosea simjui hanijui

na sinaga chuki za kuchukia kiumbe kilichobebwa tumboni miezi tisa na mwanamke mwenzangu kiasi hicho

km umalaya wake na wazazi wake ndo wanaaibika,show off ni zake si kusema anafanyia ndani kwangu!!

humu ndani jf kuna mafedhuli humu wema anasubiri sema kosa lake ni kua maarufu tu,kuna mpk magay humu(laana ya mwisho duniani),kuna wachafu wa kila aina
wamuache mtoto wa watu km wema wanamuona mshenzi bas wazae wao watakatifu wawe maarufu tuwaone basss...!
 

Madame it's not about personal conflict, hayo unayoongea unaenda mbali wala hakuna haja hata akiwa malaya haazimi ya mtu ni yake ile..... kutokumshabikia haimaanishi ndo kuwa na chuki nae, kama ulivosema we ulikuwa haumkubali basi jua kuna wasiomkubali pia
 
Wema ana moyo sana..ingekua mwingine hizi chuki dhidi yake angeshakata tamaa siku nyingi mnooo
 

i know ila kuna chuki zingine zinazidi jamani..mpk mtu unashangaa..wema hana baya hata moja ktk hii dunia ever since..!!bas ht km kuna watu humu hawamkubali bas kwa hili dogo hebu tuaprreciate mfano kitendo cha kuthubutu kushiriki vti maalum ni ujasiri tosha ht km hana status ya ubunge ule uthubutu ni big up tosha

humu wengine wanamkashifu tuuu...!!

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
 
Wema na mashabiki wake mnapenda sana kujivictimise ha ha ha ye akishangilia kufeli kwa mtu it's okay si ndio? Ye akifeli tukishangilia ni chuki, ni kumkatisha tamaa mweh kweli kupupu anapupu kuku tu bata anaharisha...mfano tuzo za kili alifurahi na kuandika "nilitaka upate zote saba ila hata sita sio mbaya" madame you know what she meant je hicho kwake sio kumkatisha mtu tamaa?
 
Kumbe unaguess tu haya pita hivi.....

Wewe ndio ulianza kuniquote so uanze kupita vile >>>>>>>>

Back to commentators, Huyu Dada amewakosea nini watanzania Wa JF? Hivi mnajua mnajitafutia laana zisizowahusu? How on earth mnakuwa na chuki za hivi? Hata wanyama hawako hivi.
 
Nashukuru meseji imefika manake yule mhusika ameanza kutoa povu kwa fake ID ya tofauti na ile anayotumia siku zote. Ila mjue me ni iron lady. Nimekamilika, nimepikwa nikapikika. Siogopi mtu yeyote humu na nje ya JF. Kwenye ukweli nitasimama. Kama dhamiri yangu itakavyoniongoza katika mema ndipo nitasimama. So mjipange mje na single mpya manake ile ya siku zote ni zilipendwa. Bye for now naelekea kwenye siasa.
 

wapi nimejivictimise..kuongea ukweli...!!hayo mengine mi mbona sijayaongea na wala sizungumzii mtu yoyote zaidi ya wema hapa..na hakuna kitu kibaya km visasi mm hua nasimama kwenye msimamo wangu huaga sinaga ushabiki maandazi akikosea ntamkosoa akifanya vzr ntamsifia
 
​Duhhhhhh, kakatwa na watu wa Singida kukatwa ndo zao
 

Huo ulikua tu mfano wa kukatisha tamaa, yes unaongea kama vile wema anaonewa, anachukiwa....sio kiivo ni kweli kuna wasio mashabiki wake ila hata yeye anao hao ambao hawashabikii na ikitokea wasipofanikiwa kwake inakua sherehe pia, hivo nae akishangiliwa kufeli muione ni changamoto tu na sio chuki

na sinaga chuki za kuchukia kiumbe kilichobebwa tumboni miezi tisa na mwanamke mwenzangu

teh hii kauli yako ndo kujivictimise kwenyewe, basi ni mjadala wa wema tu acha niishie hapa
kinachopendwa na kila mtu pesa tu, na ukishangilia kufeli kwa mwenzio jua na siku yako ipo utashangiliwa ha ha ha nikutakie jioni njema madame
 
Kuna watu nchi hii wana akili za kuwasaidia kuvukia Barabara tu
 

hhhhaaahhhhaaaa...uskonde wangi nawe pia jioni njema!
 
Hata Maulid kitenge ameshangazwa...na ili tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…