Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
mbona kimekutachi ni wewe nini?
Kumbe unaguess tu haya pita hivi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kimekutachi ni wewe nini?
sijaona cha kufanya nimchukie kihvyo maana hajawahi hata kunikosea simjui hanijui
Hongera kwa kubadili uamuzi wako juu yake kwakua we umechange basi jua kuna ambao bado hawajachange pia hivo bado hawamkubali, kwani kipi kilikufanya usimkubali hapo nyuma madame?
Huna Lolote Wewe Mwenyewe Ni "Changu Doa" Tu.Mbwembwe Kibao.
sijaona cha kufanya nimchukie kihvyo maana hajawahi hata kunikosea simjui hanijui
na sinaga chuki za kuchukia kiumbe kilichobebwa tumboni miezi tisa na mwanamke mwenzangu kiasi hicho
km umalaya wake na wazazi wake ndo wanaaibika,show off ni zake si kusema anafanyia ndani kwangu!!
humu ndani jf kuna mafedhuli humu wema anasubiri sema kosa lake ni kua maarufu tu,kuna mpk magay humu(laana ya mwisho duniani),kuna wachafu wa kila aina
wamuache mtoto wa watu km wema wanamuona mshenzi bas wazae wao watakatifu wawe maarufu tuwaone basss...!
Madame it's not about personal conflict, hayo unayoongea unaenda mbali wala hakuna haja hata akiwa malaya haazimi ya mtu ni yake ile..... kutokumshabikia haimaanishi ndo kuwa na chuki nae, kama ulivosema we ulikuwa haumkubali basi jua kuna wasiomkubali pia
Wema na mashabiki wake mnapenda sana kujivictimise ha ha ha ye akishangilia kufeli kwa mtu it's okay si ndio? Ye akifeli tukishangilia ni chuki, ni kumkatisha tamaa mweh kweli kupupu anapupu kuku tu bata anaharisha...mfano tuzo za kili alifurahi na kuandika "nilitaka upate zote saba ila hata sita sio mbaya" madame you know what she meant je hicho kwake sio kumkatisha mtu tamaa?i know ila kuna chuki zingine zinazidi jamani..mpk mtu unashangaa..wema hana baya hata moja ktk hii dunia ever since..!!bas ht km kuna watu humu hawamkubali bas kwa hili dogo hebu tuaprreciate mfano kitendo cha kuthubutu kushiriki vti maalum ni ujasiri tosha ht km hana status ya ubunge ule uthubutu ni big up tosha
humu wengine wanamkashifu tuuu...!!
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
Kumbe unaguess tu haya pita hivi.....
Maskini NCHI yangu.....
Wema na mashabiki wake mnapenda sana kujivictimise ha ha ha ye akishangilia kufeli kwa mtu it's okay si ndio? Ye akifeli tukishangilia ni chuki, ni kumkatisha tamaa mweh kweli kupupu anapupu kuku tu bata anaharisha...mfano tuzo za kili alifurahi na kuandika "nilitaka upate zote saba ila hata sita sio mbaya" madame you know what she meant je hicho kwake sio kumkatisha mtu tamaa?
wapi nimejivictimise..kuongea ukweli...!!hayo mengine mi mbona sijayaongea na wala sizungumzii mtu yoyote zaidi ya wema hapa..na hakuna kitu kibaya km visasi mm hua nasimama kwenye msimamo wangu huaga sinaga ushabiki maandazi akikosea ntamkosoa akifanya vzr ntamsifia
na sinaga chuki za kuchukia kiumbe kilichobebwa tumboni miezi tisa na mwanamke mwenzangu
Huo ulikua tu mfano wa kukatisha tamaa, yes unaongea kama vile wema anaonewa, anachukiwa....sio kiivo ni kweli kuna wasio mashabiki wake ila hata yeye anao hao ambao hawashabikii na ikitokea wasipofanikiwa kwake inakua sherehe pia, hivo nae akishangiliwa kufeli muione ni changamoto tu na sio chuki
teh hii kauli yako ndo kujivictimise kwenyewe, basi tu ni mjadala wa wema tu ishia hapa
kinachopendwa na kila mtu pesa tu, na ukishangilia kufeli kwa mwenzio jua na siku yako ipo utashangiliwa ha ha ha nikutakie jioni njema madame
hebu lete na walizosifia basi tufanye comparisonHata Maulid kitenge ameshangazwa...na ili tukio.View attachment 271555
Ha ha ha ha ha spare my ribsHata Maulid kitenge ameshangazwa...na ili tukio.View attachment 271555