Mapokezi ya Wema tishio

Wewe ndio ulianza kuniquote so uanze kupita vile >>>>>>>>

Back to commentators, Huyu Dada amewakosea nini watanzania Wa JF? Hivi mnajua mnajitafutia laana zisizowahusu? How on earth mnakuwa na chuki za hivi? Hata wanyama hawako hivi.

Hehehehehehe kweli dunia imekwisha yani eti kumsema Wema ndio mtu upate laana? Mmxuuuuu. .Wema mwenyewe ana LAANA eti mtu apate Laana (Janet 33 ) n
Yani Wema hajielewi na team yake hawajielewi.halafu hao team yake wadada wote wana vitambi sijui ni nini yani hawajielewi kbs.sijawahi kusikia duniani mtu anafurahia KUKATWA hovyo kbs
 
kiogwe mbona vakula tevebera vaghenji?
me nimeongea mjumuisho wa matusi anayofanyiwa kila siku.
kuhusu vitambi hata mimi nimeona lol. pale bia zitakuwa zinapanda daily
 
Last edited by a moderator:
sema nini.. alithubutu na akashidwa kuonyesha kuwa hata nyumbani kwao wanaona hawezi
 
kiogwe mbona vakula tevebera vaghenji?
me nimeongea mjumuisho wa matusi anayofanyiwa kila siku.
kuhusu vitambi hata mimi nimeona lol. pale bia zitakuwa zinapanda daily
Hahahahahaha haya ila mshaurini Wema bwana Wema ni pesa angepata mameneja wazuri wanaojua nini maana ya fursa wema ni pesa inayotembea.halafu aachane na haya matimu ya hovyo yanamuharibia sana inafika mahari unamsema Wema vibaya sababu naona hajijui kuwa yeye ni pesa.Wema anafiti kwenye matangazo na kila mahari sasa kwa anayoyafanya hawezi kufanikiwa na umaarufu ndio unamuisha
 
Last edited by a moderator:

kumbuka kila siku mnasema atashuka kesho ila ndio anazidi kupanda. so far amekaa kihela zaidi. amebadilika sana. kampani za kipuuzi ameacha. kuhusu ushabiki wema hajawahi kuomba watu wamshabikie ila ni mapenzi binafsi ya watu.
kama hutaamini basi ila hata tukio la jana alisapraiziwa na fans wake. alafu team mbona wasanii wengine wanazo au wema pekee ndio hatakiwi kuwa na fans or 'team'?
 
Teh teh wazee kama hao akirudi nyumbani watoto wakimwambia baba tumekuona kwenye tv, anakuwa mkali, kulalaaaaa alaaaaaa, kuangalia TV tu shule mnafeli

😂😂😂😂😂😂 nimecheka hatari
 
Wema Wema Wema

nilikuwa namuona msanii wa kawaida ila tangu nilipoanza kukutana na maneno juu ya tabia zake nilizani anasingiziwa mara huyo kumbe ya kweli haswa mwaka jana ndio nikaona hapana hata sitaki wanangu wamjue kabisa maana tabia zake sio za kufatwa na watoto kuzijua.

Anatia aibu kwa yoteeeeeeee, watu akifanya mabaya haoooo wananyamaza ikija zamu yake eti mwanamke aonewe huruma mara apendwe kisa looooo mbali mbali kabisa huyo anatia aibu ni mtu wa uraiani hakubidi kuwa na hayo kabisa.

kwenye timu hao ndio wanazidi kumchangia ashuke maana anastahili kuwapo alipo kabisaaaa, hata hao waliowalipa kuwakuta kijiweni ma bodaboda n akuwaomba waende nusu kilomita wapige picha aonekana ameshangiliwa sijui amekaribishwa ni ujinga uliokubuuu kwa mie naona. kwani angerudi na kukaa na kufikiria maendeleo na watu kum misi kwenye mitandao kidogo ingekuwaje?

mtu kuishi kwa ajili ya mashindano na watu na kujiweka asipo ni upu.pu wa juu kwa juu kabisa, hata Imelda alifiwa nae kashachukiwa sababu lazima tunajua kwanini. Msiba hata hakupewa shukurani, marafiki wote maadui

akae chini ajirekebishe, hiyo timu yake wote hawana class ya kumpaisha na ndio hivyo zaidi ya mat.usi mat.usi ndio yamewajaa midomoni na kwenye kudonoa. mimacho ya kulia bado hachoki khaaaaa.

mtu anataka ubunge hata kuposti vya maana juu ya sera hana, anaishia kuposti mambo ya mapenzi ndio kuonyesha nini? alizani wanawake wa Singida nao hawayaoni akizani ni mburulaz. msilazimishe watu kupenda tabia za ovyo za msaniii kama nyie mnapenda mrekonidi muonyeshe wanenu pia.
 

Akiwa anavuta nguvu zake kujaribu kushusha watu hao wananyamaza hata hawamtetei wanafurahia ujinga wake na roho ya kunguni iliyomjaa mzungu koko aliye sasa mzungu wa vigodoro. amekiona wakati huu aache kusaka ya watu naye hatasakwa.

kaitumia naniliu ake haijalipa sijui sasa atatumia nini, abadilike akitaka asipotaka atajiju pia ila yaliyopita yamo nasi wengi bado tabia chafuuuuuuuu hadi mfyuuuuuuuuuu.
 
Kila mtu ana haki ya kufanya chochote akipendacho, wewe ukionacho ni positive kitu kwako kwa mengine ni negative. Na huwezi kuchikiwa na wote.
Kumpenda mtu au kumchukia ni maamuzi binafsi ya mtu. Watanzania hampendi kuheshimu wengine wavipendavyo.

Acha kutetea upuuzi
 
Akifanya yeye poa akifanyiwa yeye anachukiwa...teh
 
hata sasa nimelala na baba yako namuuzia. alafu umwambie mama yako leo asiniache manake jana hakunipitia kwenda kujiuza.

Baba Yangu Namjua Vizuri.Alipata Tuzo Ya Mfanyakazi Bora Kule DSSD.Kwasababu Ya Ujuzi Wake Mzuri Wa Kuzibua Mitalo Ya Mavi.Na Anaipenda Kweli Harufu Ya Mavi.Kwahyo Kama Uko Nae Mpe Tu Hiyo Kazi.Atakusaidia Kuuzibua Mtalo Wako Vizuri Tu Kwsbb Ndio Kazi Yake Na Ana Uzoefu Nayo Toka Mwaka 1942.Kama Mtalo Umeziba Naamini Atauzibua Tu Wala Husihofu.Tulia Hivo Hivo Kama Unanyolewa.
 

povu limekutoka Kisa wema kupokelewa.haya em twambie hilo povu la sabuni gani arial au omo?
 

wivu tu unawasimbua.akipokelewa daimond sawa na picha wanarusha humu.akiwa wema upuuzi.hata wafanyeje wema atabaki kuwa wema
 
Mtu mpumbavu na malaya ata washabiki wake wanakuwa hivyo hivyo.
Kwahiyo kumbe na wewe ni mpumbavu na malaya kama Diamond?
Hili jambo niliwahi kulisema kuwa tabia za msanii zinareflect aina ya mashabiki alionao.
Mtu mstaarabu hawezi kua shabiki wa msanii/mwanamuziki mshenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…