Wema Wema Wema
nilikuwa namuona msanii wa kawaida ila tangu nilipoanza kukutana na maneno juu ya tabia zake nilizani anasingiziwa mara huyo kumbe ya kweli haswa mwaka jana ndio nikaona hapana hata sitaki wanangu wamjue kabisa maana tabia zake sio za kufatwa na watoto kuzijua.
Anatia aibu kwa yoteeeeeeee, watu akifanya mabaya haoooo wananyamaza ikija zamu yake eti mwanamke aonewe huruma mara apendwe kisa looooo mbali mbali kabisa huyo anatia aibu ni mtu wa uraiani hakubidi kuwa na hayo kabisa.
kwenye timu hao ndio wanazidi kumchangia ashuke maana anastahili kuwapo alipo kabisaaaa, hata hao waliowalipa kuwakuta kijiweni ma bodaboda n akuwaomba waende nusu kilomita wapige picha aonekana ameshangiliwa sijui amekaribishwa ni ujinga uliokubuuu kwa mie naona. kwani angerudi na kukaa na kufikiria maendeleo na watu kum misi kwenye mitandao kidogo ingekuwaje?
mtu kuishi kwa ajili ya mashindano na watu na kujiweka asipo ni upu.pu wa juu kwa juu kabisa, hata Imelda alifiwa nae kashachukiwa sababu lazima tunajua kwanini. Msiba hata hakupewa shukurani, marafiki wote maadui
akae chini ajirekebishe, hiyo timu yake wote hawana class ya kumpaisha na ndio hivyo zaidi ya mat.usi mat.usi ndio yamewajaa midomoni na kwenye kudonoa. mimacho ya kulia bado hachoki khaaaaa.
mtu anataka ubunge hata kuposti vya maana juu ya sera hana, anaishia kuposti mambo ya mapenzi ndio kuonyesha nini? alizani wanawake wa Singida nao hawayaoni akizani ni mburulaz. msilazimishe watu kupenda tabia za ovyo za msaniii kama nyie mnapenda mrekonidi muonyeshe wanenu pia.