Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Huyu Robatinyo sio kocha hata kama tumefungwa lakini hela tumepata.
Makolo today 🤣🤣
Makolo today 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa zangu kigamboniUnateseka ukiwa wapi mkuu😃
View attachment 2787145
Njoo cheka huku tucheki boli magoli😃😃😃Nikiwa zangu kigamboni
Siji mkuu lolote liwakute mtani leo🤣Njoo cheka huku tucheki boli magoli😃😃😃
Wanaotupenda watatuombeaSiji mkuu lolote liwakute mtani leo🤣
🤣🤣Baadae usinikimbie kaka humuWanaotupenda watatuombea
Nipo sanaa tutakutana😃na kwenye game yenu na al ahly hapa hapa🤣🤣Baadae usinikimbie kaka humu
🤣🤣Mimi ntakukimbiaNipo sanaa tutakutana😃na kwenye game yenu na al ahly hapa hapa
🤣🤣wakati Simba ikiwakilisha East Africa kwenye michuano mikubwa,Jangwani kwa jirani pako hivi😂😅
👇
View attachment 2787164
😃😃😃Huwezi vita🤣🤣Mimi ntakukimbia
Nikishinda sikimbii mkuu😃😃😃Huwezi vita
Niumie nini kwani mie ndo nacheza leoUnaumia sana ,,piga proo na nyie mjaze uwanja gem na azam si mnajiita tim kubwa