STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Unauhakika gani kama muanzisha mada ni mwanaume?Aliyeanzisha uzi ni mwanamke?
Busara ya mwanaume iko wapi?MMU kumejaa malalamiko ya wanaume kuwasimanga wanawake tena kwa maneno ya kidhalilishaji kabisa