Maproducer wa bongo huja na kupotea kama upepo. msichachawe na Mr. T Touch

Hakuna atakayekaa kwenye form mazima.. Muda ukifika atadrop, Nakumbuka Nay alitangaza kumzawadia t touch studio ya free nation. Sijui nini kimetokea free nation bado inamilikiwa na Nay
Kiburi cha Mt T kimemponza.kuna watu wajinga sana hapa dsm wamemshika masikio wakamlisha maneno hadi dogo kavimba kichwa
 
Mr.T Touch namjua na.Nay namjua,ndio Nay ana matatizo ila haikupaswa kuletewa jeuri coz katoa msaada sana
Kutoa msaada ila siyo kigezo cha kumfanyia mwenzio awe mtumwa wako maana hata Mr T nae ana mchango mkubwa sana katika studio ya free nation. Mr T kahama na Nay kaleta producer mpya ngoja tuone.
 
Kutoa msaada ila siyo kigezo cha kumfanyia mwenzio awe mtumwa wako maana hata Mr T nae ana mchango mkubwa sana katika studio ya free nation. Mr T kahama na Nay kaleta producer mpya ngoja tuone.
Uone mala ngapi mkuu?? Hujasikia pini ya Nay mpya,dogo kanyonga bonge la biti
 
All im all huyo t lazima amweshimu ney
 
Kutoa msaada ila siyo kigezo cha kumfanyia mwenzio awe mtumwa wako maana hata Mr T nae ana mchango mkubwa sana katika studio ya free nation. Mr T kahama na Nay kaleta producer mpya ngoja tuone.
Ukisikilza madai ya kila mmoj unakuja ona Nay ni mkora, coz alikua anamtesa mchizi kisa anatumia vyombo vyake pale free nation , jamaa akaona ajieengue ndo kufungua yake, baada ya hapo nay ndo kaanza manenk bt msela(T.touch), kaanza kujibu shutma zake juzi kati tu hapa baada ya Nay kua anaongea ongea sana kwenye media, kupotea anaeza kupotea ila sio kupotezwa na Nay coz nay kwa sasa ndo kapotea, hasikiki kabisaaaaa
 
Kumbe wewe una akili na unaelewa mambo kwa haraka.
 
Hizo ni chuki zako binafsi kwa Nay,harafu wew himjui Mr T so jus keep quite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…