Debby Christine
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 300
- 307
Pancho aisee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ostaz juma ni mpuuzi mmoja alikua na hela za urithiHAPO NAMJUA MACCO CHAL vp kuhusu ostadh juma namus0ma au c9one
Vijana wa sasa hivi hawawezi kuwaelewa hawa watu wao wanajua tu akina team mondi na kiba.Mkuu huwez kumsahau marehrmu Roy producer wa G2 records kwa biti kali kma Ice cream ya Noorah uaminifu ya Matonya na nyingnezo
NimekuelewaVijana wa sasa hivi hawawezi kuwaelewa hawa watu wao wanajua tu akina team mondi na kiba.
Back to the point Roy alikuwa mmoja ya ma~producer wakali sana leo hii ni miaka zaidi ya kumi na mbili lakini ikigongwa ice cream ya Noorah (baba styles) lile beat utadhani la jana aiseee. Rest In Eternal Peace ROY
KUMBE!!Huyo ostaz juma ni mpuuzi mmoja alikua na hela za urithi
hawa wote ni wajuzi uwezi kusema ni wa muda wote....1, T-touch
2, mesen selekta
3, shebby clever
4, jomba njoo(njoo studio)
5, Abbydad
6, lolipop(classic music)
je, wewe unamkubali yup u team weka pembeni
PAM0JA NIMEKUPATAhawa wote ni wajuzi uwezi kusema ni wa muda wote....
Roy alikuwa mkali, ngoma zote kali za Abby Skills enzi hizo katengeneza yeye, dada yake Enika pia alimtengenezea baridi kama hili bonge la song lile.Vijana wa sasa hivi hawawezi kuwaelewa hawa watu wao wanajua tu akina team mondi na kiba.
Back to the point Roy alikuwa mmoja ya ma~producer wakali sana leo hii ni miaka zaidi ya kumi na mbili lakini ikigongwa ice cream ya Noorah (baba styles) lile beat utadhani la jana aiseee. Rest In Eternal Peace ROY
Mkuu huwez kumsahau marehrmu Roy producer wa G2 records kwa biti kali kma Ice cream ya Noorah uaminifu ya Matonya na nyingnezo
Roy (Rip) heshima sana kwake. Beat ya matonya - vaileth imefanyiwa sample na papoose na snoop kwenye wimbo bang it out. Just imagine.! Pia huwezi kumuacha Mica mwamba na P funk. Mtoa mada nadhani alitakiwa aseme producers wangu wakali kwa sasa sio all time .Mkuu mchango wa Roy watu sijui wameusahau hivi jamaa alikuwa kichwa sana kutoka G records ila yote maisha tu leo hii wanaomthamini ni wachache.
Crap1, T-touch
2, mesen selekta
3, shebby clever
4, jomba njoo(njoo studio)
5, Abbydad
6, lolipop(classic music)
je, wewe unamkubali yup u team weka pembeni
km umemuacha p funk majani,,Marco chali na master j bhas ww utakuwa umeanza kuckiliza muziki mwaka 2010...1, T-touch
2, mesen selekta
3, shebby clever
4, jomba njoo(njoo studio)
5, Abbydad
6, lolipop(classic music)
je, wewe unamkubali yup u team weka pembeni
Kama tunazungumzia all time, HII NDO LIST SAHIHI.Muda wote mkuu..!!!
Marco Chali
Mika mwamba
Master Jay
P-funky
Dx Noise maker Record(Arusha)
Kameta
Saidi Comorien jamaa alikua anapiga vinanda mpaka basi sijui yuko wap.
Man Walter
Hao wote wametengeza ngoma na zimehit kimataifa
Waambie aiseeMtu hajatengeneza hit songs hata hamsini mnamnadi eti ni bora.
Mwingine hata beats 40 hajafikisha lkn tayari kashaanza kuzisample beat zake mwenyewe.
Hivi mnafahamu mtu anaitwa Majani kweli nyie au mmeanza kusikiliza muziki kipindi cha T101 AAA.
NIMEKUELEWARoy (Rip) heshima sana kwake. Beat ya matonya - vaileth imefanyiwa sample na papoose na snoop kwenye wimbo bang it out. Just imagine.! Pia huwezi kumuacha Mica mwamba na P funk. Mtoa mada nadhani alitakiwa aseme producers wangu wakali kwa sasa sio all time .
PAM0JAKama tunazungumzia all time, HII NDO LIST SAHIHI.
Waliotajwa na mleta mada ni wanaomfurahisha. production zao zipo the same way, thats why overtime wana-fade.
Producer mzuri ni yule, anayetoa kila siku new melody, beat n production flavour like you have never heard it before af the same time unakuwa really impressed.
Kwa hiyo sasa, hawa ndo ma-producer.