Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

Mkuu huwez kumsahau marehrmu Roy producer wa G2 records kwa biti kali kma Ice cream ya Noorah uaminifu ya Matonya na nyingnezo
Vijana wa sasa hivi hawawezi kuwaelewa hawa watu wao wanajua tu akina team mondi na kiba.
Back to the point Roy alikuwa mmoja ya ma~producer wakali sana leo hii ni miaka zaidi ya kumi na mbili lakini ikigongwa ice cream ya Noorah (baba styles) lile beat utadhani la jana aiseee. Rest In Eternal Peace ROY
 
Nimekuelewa
 
Roy alikuwa mkali, ngoma zote kali za Abby Skills enzi hizo katengeneza yeye, dada yake Enika pia alimtengenezea baridi kama hili bonge la song lile.
 
Mkuu huwez kumsahau marehrmu Roy producer wa G2 records kwa biti kali kma Ice cream ya Noorah uaminifu ya Matonya na nyingnezo

Mkuu mchango wa Roy watu sijui wameusahau hivi jamaa alikuwa kichwa sana kutoka G records ila yote maisha tu leo hii wanaomthamini ni wachache.
 
Mkuu mchango wa Roy watu sijui wameusahau hivi jamaa alikuwa kichwa sana kutoka G records ila yote maisha tu leo hii wanaomthamini ni wachache.
Roy (Rip) heshima sana kwake. Beat ya matonya - vaileth imefanyiwa sample na papoose na snoop kwenye wimbo bang it out. Just imagine.! Pia huwezi kumuacha Mica mwamba na P funk. Mtoa mada nadhani alitakiwa aseme producers wangu wakali kwa sasa sio all time .
 
1, T-touch
2, mesen selekta
3, shebby clever
4, jomba njoo(njoo studio)

5, Abbydad
6, lolipop(classic music)
je, wewe unamkubali yup u team weka pembeni
km umemuacha p funk majani,,Marco chali na master j bhas ww utakuwa umeanza kuckiliza muziki mwaka 2010...
 
Mtoa mada we wawapi? Mbona unatuwekea watoto hao? Unapozungumzia maproducer wa mda wote tuliza akili na uwe na adabu;

1. P.Funky Majani (ya bustani)
2. Mika Mwamba
3. Master Jay
4. Marco Chali
5. Lamar
6. Nahreel
7. Man Walter
 
Muda wote mkuu..!!!
Marco Chali
Mika mwamba
Master Jay
P-funky
Dx Noise maker Record(Arusha)
Kameta
Saidi Comorien jamaa alikua anapiga vinanda mpaka basi sijui yuko wap.
Man Walter
Hao wote wametengeza ngoma na zimehit kimataifa
Kama tunazungumzia all time, HII NDO LIST SAHIHI.

Waliotajwa na mleta mada ni wanaomfurahisha. production zao zipo the same way, thats why overtime wana-fade.

Producer mzuri ni yule, anayetoa kila siku new melody, beat n production flavour like you have never heard it before af the same time unakuwa really impressed.

Kwa hiyo sasa, hawa ndo ma-producer.
 
Mtu hajatengeneza hit songs hata hamsini mnamnadi eti ni bora.
Mwingine hata beats 40 hajafikisha lkn tayari kashaanza kuzisample beat zake mwenyewe.
Hivi mnafahamu mtu anaitwa Majani kweli nyie au mmeanza kusikiliza muziki kipindi cha T101 AAA.
Waambie aisee
 
NIMEKUELEWA
 
PAM0JA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…