Uchaguzi 2020 Maprofesa Baregu na Safari mko wapi kuisaidia CHADEMA?

Achana na genge hili la wahuni. Si unaona walivyoparaganyika? Hata M/kiti sasa hivi haonekani?
Mwenye mapungufu hata akiamua kujinyoga, huchagua tawi la hovyoo!!
Mgombea wa CCM leo yupo wapi?
 
Baregu na Safari hawawezi kuambatana na wahuni!

Kama unakumbuka Baregu alianza kujitenga na chadema baada ya ule uhuni wa kina Gwajima kuwa washenga wa kumleta EL, na wenye akili kina Slaa kukataa kula matapishi yao.
Lakini leo mshenga GWAJIMA na EL wapo wapi?
 
Chadema hakuna msomi aweza waunga mkono wasomi waliiunga mkono enzi wapo akina Dr Slaa ,Profesa Baregu na Professor Safari tu
Hivi huyo jiwe lenu lilidefend Thesis yake ya Phd kwa lugha gani? huwa naogopa anavyokimbia midahalo ya kimataifa halafu unakumbuka mzee museven alivyomsaidia kipindi kile na waandishi wa habari?
 
Kwa sasa wana Dr Feza Lwaitama ndo mentor huko.
 
Hivi huyo jiwe lenu lilidefend Thesis yake ya Phd kwa lugha gani? huwa naogopa anavyokimbia midahalo ya kimataifa halafu unakumbuka mzee museven alivyomsaidia kipindi kile na waandishi wa habari?
Aiseee,si mchezo.
 
Unafahamu sayansi ya kupaa kwenda anga za mbali?
Chombo kinaondoka na tails kama tano hivi kulingana na umbali na kila tail ina kikomo cha umbali...mwisho wa siku chombo hufika destination bila bila tail yoyote
Hizo tails ndio zimekisaidia kufika sehemu husika hata kama kimefika pekeyake...hao mapro ni sehemu ya tails

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Profesa Makamba junior na Profesor Bao la mkono wapo wapi nao hawasikiki?
 
Hivi nyinyi mnaosema LISU ndio raisi mnaongea kutoka moyoni au mnatania tu!?
 
Wapo nyumbani kwao!

Ndio maana huwa tunasema chadema hawajahi kuwa serious
Kwa mtindo huu, naogopa hata kumuomba Mungu awasaidie kushinda, maana itakuwa taabu sana! Rais Lissu, Makamu Mwalimu. Waiziri mkuu Mbowe, Spika ni Msigwa, Mambo ya ndani Lema, WIzara ya fedha Sugu,.... Jamani! Hiyo ni serikali ya dunia ipi?
 
Ukitaka kufahamu maana ya laana, itokee Lissu ni rais wa nchi! Tutashuhudia watawala wakigombania pesa kabla ya kuanza kutugombania wananchi. Bwege hawa!!!
 
Sasa wewe! Badala ya kusema wako wapi wewe unahesabu walioko CCM. Wewe sema wako wapi? Au umekumbushwa machungu?
Wamestaafu siasa.
Lissu one man show..kinga kalio udungwe sindano chungu kama ya penicillin
 
Wanasubiri fursa kama hizi...awamu hii hakuna tena huu ujinga wa kuitwa ikulu kunywa juisi! kuitwa Ikulu!
 
Ninyi wenye mpro. Kibao mmefanya Nini kwenye wizi wa vitambuoisho vya wamachinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…