Lugha,lugha,mkuu mtu anaeweza akazungumza kwa lugha yake mwenyewe ana uwezo wa kuifanyia hata manjonjo.Kama Magufuli anahutubiwa watanzania kiswahili kuna tatizo gani?Mbona Norgeian,Japanese,Chinese, Arabs,wanafanya Phd kwa lugha zao,kwani kufanya kwa lugha zao kunapunguza ujuzi au maarifa yao?Hivi huyo jiwe lenu lilidefend Thesis yake ya Phd kwa lugha gani? huwa naogopa anavyokimbia midahalo ya kimataifa halafu unakumbuka mzee museven alivyomsaidia kipindi kile na waandishi wa habari?
Wapo ndani ya timu ya mikakati ya ushindi! Huoni mambo yanavyoinyookea Chadema? Huoni Polepole anavyoweweseka kujibu hoja za kisomi zilizojaa hekima ya wazee hao?Sasa wewe! Badala ya kusema wako wapi wewe unahesabu walioko CCM. Wewe sema wako wapi? Au umekumbushwa machungu?
Tusiwe wachoyo wa fadhila wandugu.Baregu na Safari hawawezi kuambatana na wahuni!
Kama unakumbuka Baregu alianza kujitenga na chadema baada ya ule uhuni wa kina Gwajima kuwa washenga wa kumleta EL, na wenye akili kina Slaa kukataa kula matapishi yao.
Mbona CHDEMA hawajawahi sema lolote juu ya hili? Au wanaiga mtindo wa CCM?Tusiwe wachoyo wa fadhile wandugu.
Tunawakumbuka watu akati wa shida zetu tu.
Prof Baregu ni mgonjwa kwa zaidi ya miaka miwili sasa, na amepooza upande mmoja baada ya kupata stroke.
Hivi wewe kiingereza unakijua? Unaweza onesha msg yoyote uliyowahi leta hapa JF kwa kiingereza? Mbona kila siku michango yako ni kwa kiswahili? Ukiona thrd ya kiingereza unakuwa bubu!Hivi huyo jiwe lenu lilidefend Thesis yake ya Phd kwa lugha gani? huwa naogopa anavyokimbia midahalo ya kimataifa halafu unakumbuka mzee museven alivyomsaidia kipindi kile na waandishi wa habari?
Yule jamaa wa mukomboti!Kwa sasa wana Dr Feza Lwaitama ndo mentor huko.
Nimejaribu kupanga serikali ya Lisssu, nimejikuta naishia kicheko tu;Hivi nyinyi mnaosema LISU ndio raisi mnaongea kutoka moyoni au mnatania tu!?
Matamasha ya wasanii wa dar mikoaniKama chadema mna mamilioni basi CCM ina mabilioni
[emoji116]View attachment 1580115
ohh masikini mataga.CHADEMA zimebaki akili zinazoendana na UROPOKAJI tu!
Hata Mnyika nadhani kaanza kuchoka maana kwa kweli kuropoka anajilazimishaga tu.
Wanamuonea sana Polepole. Si wangemtuma MUSIBA tu! amueleze risasi hizo zilizompiga niza kuwindia ndege au hii hii SMG tunayoifahamu.Chadema hii-hii iliyofanya Mgombea rais wa CCM kwenda kujificha uvunguni kila baada ya siku 5 na kumtuma Polepole aje kulia-lia mbele ya media??
Tanzania hatujafika hata robo ya bilioni, sijuwi Kama unafahamu hivyo.Kama chadema mna mamilioni basi CCM ina mabilioni
[emoji116]View attachment 1580115
Nimejaribu kupanga serikali ya Lisssu, nimejikuta naishia kicheko tu;
Rais Lissu, Makamu Mwalimu, Waiziri mkuu Mbowe, Spika ni Msigwa, Mambo ya ndani Lema, WIzara ya fedha Sugu,.... Jamani! Hiyo ni serikali ya dunia ipi?
Gwajima leo ndiyo think tank wengine mmebakia mitandaoni tu kusifu na kuabuduWapo nyumbani kwao!
Ndio maana huwa tunasema chadema hawajahi kuwa serious
Kazi na dawa kaka [emoji41][emoji38]Chadema hii-hii iliyofanya Mgombea rais wa CCM kwenda kujificha uvunguni kila baada ya siku 5 na kumtuma Polepole aje kulia-lia mbele ya media??
Dunia ililizwa na Hitler. Tanzania tukalizwa na Idd Amin. Cambodia wakalizwa na Khmer Rouge. nk.Chadema hii-hii iliyofanya Mgombea rais wa CCM kwenda kujificha uvunguni kila baada ya siku 5 na kumtuma Polepole aje kulia-lia mbele ya media??
BAREGU amekufa leo.Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Mko wapi ndugu zangu?
Kwenu CHADEMA, kama hata hawa mliwapoteza, basi kaeni tayari kupotea gizani. Hawa walikuwa taa yenu kisiasa. Siasa za ubunifu wa mitaani hamtafika kokote. Siasa ni sayansi na tayari mlikuwa naye profesa Baregu, mwalimu wa sayansi ya siasa nchini. Hizo sera za kurekebisha sheria kila siku majukwaani, angeachiwa profesa Safari awasaidie.
Siwasikii CHADEMA juu ya msiba huu.Baregu na Safari mlikuwa maprofesa wawili muliojiweka wazi kuisaidia CHADEMA. Ni muda sasa siwasikii kabisa! CHADEMA iliwakataa au mliishindwa wenyewe? Nawatafuta kwa sababu njema maana ninaposikia na niliposoma ilani ya chama hiki, inasikitisha. Ni ilani isiyo na mikakati lakini inataja matumaini tu! Mko wapi ndugu zangu?
Kwenu CHADEMA, kama hata hawa mliwapoteza, basi kaeni tayari kupotea gizani. Hawa walikuwa taa yenu kisiasa. Siasa za ubunifu wa mitaani hamtafika kokote. Siasa ni sayansi na tayari mlikuwa naye profesa Baregu, mwalimu wa sayansi ya siasa nchini. Hizo sera za kurekebisha sheria kila siku majukwaani, angeachiwa profesa Safari awasaidie.