Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Nilitegemea hawa wasomi wa ngazi za juu kujitokeza hadharani kutoa maoni yao kuhusu hiki kinachoendelea nchini, badala yake wanagugumia chini chini tu.
Sasa ikiwa hawa watu wenye jukumu la kubrush akili za vijana wetu wanakuwa waoga kiasi hiki, vipi hawa wasomi wanaoingia mtaani kama matokeo ya Maprofesa hao?
Taasisi za elimu ya juu zikiogopa, hivi vipi raia wa kawaida ambao mpaka leo wanaogopa hata polisi?
Matokeo yake ndiyo hawa wabunge wanabariki mkataba wa kuikabidhi nchi yao kwa mwekezaji kwa muda usiojulikana.
Ni rasmi sasa; Tanganyika tunajiandaa kuwa nchi isiyo na bandari na Maprofesa wa Siasa na Uchumi mpo tu.
Tuungane kusaini petition kupinga uhuni unaotaka kufanywa na serikali