Maprofessa wa Vyuoni Sijui wakoje!!!

Maprofessa wa Vyuoni Sijui wakoje!!!

Joined
Aug 11, 2012
Posts
76
Reaction score
3
mi Napiga simu Naongea Kiswahili Lenyewe linanijibu Kiingereza ...
na mimi Kwa Makusudi Nimemnyooshea Kiswahili kwa Muda wa Dakika Kama 15 hivi...

ikabidi aamue Kuongea Kiswahili ha ha ha ha ha Hapa ndio Aliniacha Hoi """Wewe Kijana Mimi ni Proffesa nalipwa Mamilioni nina Nyumba Egypt""""

Hakiyamungu Huyu jamaa aliniacha Hoi....inaonyesha Huko Chuoni watu Design yangu Tutakoma!!!
 
hahahahahah,"nina nyumba egypt" you made my day.
 
Hayo nayo ni ya kujadili kwenye jukwaa la elimu?
Yap c vbaya na haya kakawa yanaletwa huku ili mda mwingine tucheke kidogo,,,na ndo jinsi maisha yanavyoenda so kila siku kulia lia 2.......LETA NYINGINE KALII,,,,hahahahahahhaaaaaaa
 
hahhahaha wewe jamaa upo kama mimi .. Hawa jamaa wanaoendekeza mabo ya wazungu huwaga nawazarau sana.
 
Back
Top Bottom