Sultani Makenga
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 621
- 1,039
Hata yeye huyo huyo anayejidai kuwachana wenzake akikabidhiwa wizara ni full madudu tu, kazi ya uCAG hata akipewa kingwendu anaiweza tu, kwenda kusoma madudu bungeni nayo ni kazi? Hakuna jitu la ovyo kama hilo Simbiti Kichere nalo leo linaonekana lichapa kazi.Nilikuwa nashangaa namna Magufuli alivyokuwa analibeba mara TRA, mara RAS mara CAG, hili nalijua vyema tangu likiwa ShyCom ni lijitu la ovyo kweli.Hii nchi unafiki na kujipendekeza ni kwingi