Maprofessa wetu tatizo ni elimu au vyuo walivyosomea?

Msomi hawezi kuwa anaongea siasa, press ya Assad haina tofauti na press ya Chadema.
Unataka siasa iachwe kwenye mikono ya wapumbavu ccm ili waitafune nchi wanavyotaka? kila mtu ana haki ya kuingelea siasa maana siasa ni maisha ya binadamu ya kila siku, kama mlishajiona nyie ndo mnatakiwa kujadili siasa peke yenu kwa sababu sio wasomi muda wa huo upambu haupo tena.
 
kuelemika ni pamoja na kuheshimu mawazo ya watu wengine, sio kuita wengine wajinga, vichaa na washenzi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…