wanapata faida kupitia wadhamini na mashabiki kwa asilimia ndogo sana. nadhan mchezo wa ngum hauna ushabik sana kwa nchi yetu kwa sababu y dhan iliyojengeka ndan ya vichwa vya watu weng ngum n mchezo wa wauni ... hata hvy kila siku zinavyoenda mashabiki wa ngumi pia wanaend kuongezeka