Mapromota wa ndondi wananufaikaje

Mapromota wa ndondi wananufaikaje

Ungekuwa unashabikia simba, ningekushauri kwenda kumuuliza promota wetu mpya in town, Dr. Mo. aka Moboxing
 
wanapata faida kupitia wadhamini na mashabiki kwa asilimia ndogo sana. nadhan mchezo wa ngum hauna ushabik sana kwa nchi yetu kwa sababu y dhan iliyojengeka ndan ya vichwa vya watu weng ngum n mchezo wa wauni ... hata hvy kila siku zinavyoenda mashabiki wa ngumi pia wanaend kuongezeka
 
Back
Top Bottom