dafity
JF-Expert Member
- Aug 16, 2008
- 1,858
- 2,059
Ningekua na MAMLAKA ningehamisha MAPUMZIKO KITAIFA kutoka SABASABA (Maonyesho ya Biashara) badala yake Taifa LIPUMZIKE LEO JULY 25 KUWAKUMBUKA MASHUJAA WALIOMWAGA DAMU ZAO KUPIGANIA UHURU WA TAIFA HILI NA HATA KWINGINE. Wengi hawajui kwamba July 25 Kila Mwaka ni SIKUKUU YA MASHUJAA mpaka waone gwaride kwenye TV. Kama tunapumzika kwa sababu ya "biashara" je si zaidi sana kwa "DAMU" za wananchi wenzetu? Ni kwa vile sina mamlaka, ningeshahamisha mapumziko.