Pre GE2025 Mapunda achukua fomu, ajitosa kinyang’anyiro cha Uenyekiti CHADEMA, kumvaa Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.

Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.

Pia, Soma:

CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo

Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
 
View attachment 3180222
Kinapoitwa Chama cha demokrasia maana yake ndiyo hiyo. Kama Katiba yao inaruhusu wachukue hata 800
 
20241219_140130.jpg
 
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.

Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.
View attachment 3180222
Kila lenye heri, waachama wenye sifa waendelee kujitokeza kwa wing zaidi.
 
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.

Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.
View attachment 3180222
Nasikia CCM ukitangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti unatimuliwa
 
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.

Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.
View attachment 3180222

Pia, Soma:

CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
demokrasia inaendelea kutararadi,siyo sawa na upande wapili wa kusifu na kuabudi mamamama
 
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.

Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.
View attachment 3180222

Pia, Soma:

CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo

Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Naona mizaha imekuwa mingi sasa
 
Nipo na pesa za kulipia fomu kwa mwana CHADEMA anayetaka kugombea nafasi ya uenyekiti.
Kikubwa awe seriously!
 
---Kuna kiongozi kura zake zinakwenda kupunguzwa kisayansi - - - - no worry!
T. A. L shall win.
 
Huko CCM pia wajitokeze kwa wingi kuchukua Fomu ili kumchallenge huyo Mama.
 
Back
Top Bottom