Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.
Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.
Pia, Soma:
• CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
• Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA