Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kinapoitwa Chama cha demokrasia maana yake ndiyo hiyo. Kama Katiba yao inaruhusu wachukue hata 800Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.
Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.
View attachment 3180222
Kila lenye heri, waachama wenye sifa waendelee kujitokeza kwa wing zaidi.Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.
Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.
View attachment 3180222
Nasikia CCM ukitangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti unatimuliwaMwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.
Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.
View attachment 3180222
demokrasia inaendelea kutararadi,siyo sawa na upande wapili wa kusifu na kuabudi mamamamaMwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.
Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.
View attachment 3180222
Pia, Soma:
• CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Lisu kazungukwa na wanafki wengi
Naona mizaha imekuwa mingi sasaMwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Mtongani, Kunduchi jijini Dar es Salaam, Romanus Romanus Mapunda amejitokeza rasmi kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Taifa wa chama hicho katika Ofisi za CHADEMA jijini Dar es Salaam.
Mapunda anakuwa ni mwanachama wa pili kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu siku chache zilizopita.
View attachment 3180222
Pia, Soma:
• CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
• Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Wasukuma hawana akili eeeh!! Kwahiyo walikuwa wanampigia kampeni za nini sasa, Hawa Cdm wanaona Watz hatunazo eeeh?