GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Damn Fool.Huyo kiungo mchekeshaji atakuwa anawachekesha wachezaji wa upinzani halafu wa Simba wanachanja mbuga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Damn Fool.Huyo kiungo mchekeshaji atakuwa anawachekesha wachezaji wa upinzani halafu wa Simba wanachanja mbuga.
Kapimwe Akili kwani hauko sawa Ok?Hahaaaa itakua ni ligi yenye watazamaji wengi dunia nzima huenda tukawa ligi ya kwanza duniani kugundua
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Bangala, Aucho na Mayele.Jana kwa mfano mchezaji Gani aliwagharimu?
Kama mama yakoDamn Fool.
Ndo wewe watu humu wanakusifia kua wanakukubali daah tunasafari ndefu.Ukikazwa pia huwa unakuwa na Umakini hivi hivi wa kugundua Makosa ya Mkazaji?
Kumbuka lakini kuwa unapoingiza mchezaji ni lazima umtoe mchezaji!Kweli Kabisa, Jana kocha angeweza kujilipua akawaingiza michomoko Banda , Sakho au Phiri, jamaa wangekosa utulivu kule nyuma.