issa simba
New Member
- Jan 17, 2014
- 2
- 0
Ney wa mitego anaimba Taarabu ngumu
Ili hali kampuni bia ya bia ya kilimanjaro inapoteza pesa kwa kujua wasani wataonesha ushirikiano,badala yake hamna kitu,mfano wasanii kama jdee,mzee yusuph,hawakuwepo kwenye upewaji wa tuzo mnakuwa wapi?au dharau,halafu wapo wanaokosaga wanapiga kelele oooh mwaka unaokuja msiniweke,jamani tuheshimu watu na pesa zao wanapowekeza sehemu onyesheni ushirikiano
We ---- nini.?unafahamu maana ya hiphop..ney inafanya hiphop gani..?hiphop sio kufokafoka tu bila mantinki..fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,
ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!
fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,
ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!
Nimekuunga mkono kwa asilima 100 kwa sababu huyu jamaa kazi kuwasema wasanii wenzake tu.
fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,
ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!
mbona hata nje kuna wasanii huwa hawapo sk za tuzo na huchukuliwa na wengine.mi nafikiri si jambo la ajabu
Eti msanii bora wa kiume alafu hana hata nyimbo ilopewa tuzo.... kwa xtian bella walichemka..
Nitajieni Wimbo Ambao Fid Q.Amebamba.
fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,
ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!