Mapungufu katika Kili Music Awards na aibu mnayoileta wasanii kwa kutohudhuria

Mapungufu katika Kili Music Awards na aibu mnayoileta wasanii kwa kutohudhuria

hv kuna wansofanya hip.hop kushinda roma na kala? labda na mwamba wa kaskazini
 
Ili hali kampuni bia ya bia ya kilimanjaro inapoteza pesa kwa kujua wasani wataonesha ushirikiano,badala yake hamna kitu,mfano wasanii kama jdee,mzee yusuph,hawakuwepo kwenye upewaji wa tuzo mnakuwa wapi?au dharau,halafu wapo wanaokosaga wanapiga kelele oooh mwaka unaokuja msiniweke,jamani tuheshimu watu na pesa zao wanapowekeza sehemu onyesheni ushirikiano

...so mr.future president ukiwa rais washauri endapo mwanamuziki mmoja hayupo waahirishe mpaka atakapopata nafasi ndo wagawe zawadi itakuwa very fair na utakuwa rais wa mfano duniani kote...
 
fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,

ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!
We ---- nini.?unafahamu maana ya hiphop..ney inafanya hiphop gani..?hiphop sio kufokafoka tu bila mantinki..
 
Eti msanii bora wa kiume alafu hana hata nyimbo ilopewa tuzo.... kwa xtian bella walichemka..
 
Mi mc mpoki ndio alinitibua nikaondoka zangu uchekeshaji wake wa kishamba kukandia wenzie ndio kuchekesha.lakn fid yupo sawa
 
fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,

ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!

Endelea kushabikia taarabu hip hop iache kama ilivyo!
 
FID Q wa kawaida sana....namuheshimu kwa kusimamia misingi ya hiphop lakini michano yake haitishi...ingawa anajitahidi kusoma ili kujenga mistari konde iliyoshiba....Kwa hali ya sanaa ya hiphop ilivyo sasa kwenye industry....anastahili....Watoto wa juzi mliojua hiphop kupitia akina stamina...Roma...n.k hamuwezi kunielewa....
 
fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,

ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!

huyu anaongelea bongo fleva sio hiphop msimlaumu...hiphop yenyewe haijui
 
Eti msanii bora wa kiume alafu hana hata nyimbo ilopewa tuzo.... kwa xtian bella walichemka..

mmhh....christian bella mkali sana...uliza wanaoendaga kwenye live shows..
 
fid q walimpa tuzo za bure hakustahili kupewa zile tuzo,

ney wa mitego ndio alistahili kuchukua mwana hiphop bora, lakini hata kwa category hakuwepo!

hivi unajua hip hop wewe na mising yake mi5.
nay anao hata mmoja au umesahau nyimbo yake ya baby hallow kaimba kama abdu kiba tu.
afu nay umeiambiwa anaimba TAARABU NGUMU HAKUNA CATEGORY YAKE
 
Back
Top Bottom