Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Wewe unapoona ufaulu wa wanafunzi unashuks hadi "wizara ya elimu wanapanua goli"hjiulizi hizo product zinaenda wapi, hao ndio member wa kizazi kipya cha jf. JF ilikuwa zamani!
we kwan umesomea nje naona unajitoaWewe unapoona ufaulu wa wanafunzi unashuks hadi "wizara ya elimu wanapanua goli"hjiulizi hizo product zinaenda wapi, hao ndio member wa kizazi kipya cha jf. JF ilikuwa zamani!
Wewe unapoona ufaulu wa wanafunzi unashuks hadi "wizara ya elimu wanapanua goli"hjiulizi hizo product zinaenda wapi, hao ndio member wa kizazi kipya cha jf. JF ilikuwa zamani!
Wewe unapoona ufaulu wa wanafunzi unashuks hadi "wizara ya elimu wanapanua goli"hjiulizi hizo product zinaenda wapi, hao ndio member wa kizazi kipya cha jf. JF ilikuwa zamani!
Hushangai watu wa form six wakiulizia kuhusu tarehe ya kwenda jesh and all that.? Sa form six wanakujaje hapa
Kwani hapa wanatakiwa form ngapi?mbona ukiwa unajiunga hawajakataza form six kuwepo?wewe ni mtu mzima lakini huna akili sasa watoto wako sijui watakuaje!au kuna kitu form six amefanya wewe kimekukera?kuulizia jeshi au ni kipi?we ulitaka kwenye mambo ya elimu watu waulizie nini?naomba unijibu Mr. Kubwa jinga.

Hehehehe we form six huku sio sehem yako. Nenda kaone kwanza mambo yanavoenda. Kimyaa
Dogo, wewe ni mmojawapo wa wana JF wanaohitaji semina za kujenga hoja bila kutukana!
Mkuu acha dharau kwani Form6 wanakosa gani maana kwa u2mbo wako inaonesha jinsi ulivyo na low IQ tena bora hata hao Form6 unaowaponda..
Nimebaini kuwa wana JF wengi hawajui kujibu hoja. Baadhi hupenda kutumia kejeli, hoja ya nguvu, vitisho na matusi ili 'kuhakikisha kuwa wamesikika'!
Hawajiamini kama wakitumia lugha ya upole au sauti nyepesi hoja yao itafika mahali husika. This is inferiority complex. Nawashauri Mods waandae semina kwa wana JF mada ikiwa ni namna ya kujenga hoja bila ya kutumia lugha kali.
Nadhani hii itasaidia kuimprove diaspra au platform mbali mbali za mada zinazochangiwa humu JF.
Pia natoa wito kwa wana JF tuabidlike. I mean, tujifunze na ku improve... ​
Hahahaha hiyo semina itakuwa lini na mimi nijisajili.