Mapungufu Makubwa ya Wana JF

Mapungufu Makubwa ya Wana JF

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Nimebaini kuwa wana JF wengi hawajui kujibu hoja. Baadhi hupenda kutumia kejeli, hoja ya nguvu, vitisho na matusi ili 'kuhakikisha kuwa wamesikika'!

Hawajiamini kama wakitumia lugha ya upole au sauti nyepesi hoja yao itafika mahali husika. This is inferiority complex. Nawashauri Mods waandae semina kwa wana JF mada ikiwa ni namna ya kujenga hoja bila ya kutumia lugha kali.

Nadhani hii itasaidia kuimprove diaspra au platform mbali mbali za mada zinazochangiwa humu JF.

Pia natoa wito kwa wana JF tuabidlike. I mean, tujifunze na ku improve... ​
 
Wewe unapoona ufaulu wa wanafunzi unashuks hadi "wizara ya elimu wanapanua goli"hjiulizi hizo product zinaenda wapi, hao ndio member wa kizazi kipya cha jf. JF ilikuwa zamani!

mkuu umepotea sana bana...upo? JF imeoza aisee kuna vijana wamevamia hasa kule MMU wanapost -----...na generation yetu hii ya smart phones hatari sana Ndebile
 
Last edited by a moderator:
Wewe unapoona ufaulu wa wanafunzi unashuks hadi "wizara ya elimu wanapanua goli"hjiulizi hizo product zinaenda wapi, hao ndio member wa kizazi kipya cha jf. JF ilikuwa zamani!
we kwan umesomea nje naona unajitoa
 
Hushangai watu wa form six wakiulizia kuhusu tarehe ya kwenda jesh and all that.? Sa form six wanakujaje hapa
 
Wewe unapoona ufaulu wa wanafunzi unashuks hadi "wizara ya elimu wanapanua goli"hjiulizi hizo product zinaenda wapi, hao ndio member wa kizazi kipya cha jf. JF ilikuwa zamani!

ndio haya mleta uzi aliyoyasema ,usisite kujisajili kwenye semina endapo itatangazwa!
 
Wewe unapoona ufaulu wa wanafunzi unashuks hadi "wizara ya elimu wanapanua goli"hjiulizi hizo product zinaenda wapi, hao ndio member wa kizazi kipya cha jf. JF ilikuwa zamani!

hivi mkuu unaposema jf ilikua zamani ni kipindi kipi hicho maana kila mtu ana zaman yake. maana huu msemo nimeuskia sana
 
Hushangai watu wa form six wakiulizia kuhusu tarehe ya kwenda jesh and all that.? Sa form six wanakujaje hapa

Kwani hapa wanatakiwa form ngapi?mbona ukiwa unajiunga hawajakataza form six kuwepo?wewe ni mtu mzima lakini huna akili sasa watoto wako sijui watakuaje!au kuna kitu form six amefanya wewe kimekukera?kuulizia jeshi au ni kipi?we ulitaka kwenye mambo ya elimu watu waulizie nini?naomba unijibu Mr. Kubwa jinga.
 
Hehehehe we form six huku sio sehem yako. Nenda kaone kwanza mambo yanavoenda. Kimyaa
 
Dogo, wewe ni mmojawapo wa wana JF wanaohitaji semina za kujenga hoja bila kutukana!
 
Hehehehe we form six huku sio sehem yako. Nenda kaone kwanza mambo yanavoenda. Kimyaa

Mkuu acha dharau kwani Form6 wanakosa gani maana kwa u2mbo wako inaonesha jinsi ulivyo na low IQ tena bora hata hao Form6 unaowaponda..
 
Unataka nini wewe? Hii sio sehemu ya form six. Hivi unajua kirefu cha GPA wewe? Sa utaongea nini. Saa nyingine kukujibu nakusaidia usijifanye kichwa kigumu. Sikujibu tena. Umepata ngapi form six? Wezako wako kambini saa hii sijui huku unafata nini
 
Nimebaini kuwa wana JF wengi hawajui kujibu hoja. Baadhi hupenda kutumia kejeli, hoja ya nguvu, vitisho na matusi ili 'kuhakikisha kuwa wamesikika'!

Hawajiamini kama wakitumia lugha ya upole au sauti nyepesi hoja yao itafika mahali husika. This is inferiority complex. Nawashauri Mods waandae semina kwa wana JF mada ikiwa ni namna ya kujenga hoja bila ya kutumia lugha kali.

Nadhani hii itasaidia kuimprove diaspra au platform mbali mbali za mada zinazochangiwa humu JF.

Pia natoa wito kwa wana JF tuabidlike. I mean, tujifunze na ku improve... ​

Umeleta hoja nzuri mkuu, lakini kumbuka hii mitandao ya kijamii ina michanganyiko wa watu wenye mitazamo tofauti tofauti, umri tofauti, imani tofauti, elimu tofauti, busara tofauti, hekima tofauti, malezi tofauti n.k. Kwa hiyo ni ngumu wana JF wote kuwa na uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko ktk lugha nzuri yenye staha.
 
Back
Top Bottom