Mapungufu ni mengi sana kwenye siku ya wananchi, burudani za hovyo na kiingilio kikubwa vyapunguza mashabiki

Pamoja na fungulia mbwa lakinj bado hawakujaa
 
Usilete siasa kwenye starehe, mpira ni starehe na starehe ni gharama.

Kwenye show za muziki watu huwa wanalipia kiingilio kwa meza ya watu 10 shilling million 1.

Usidhani wachezaji wanasajiliwa kwa ruzuku za Chadema au join the chain.
Matola nilikutarajia uje hivi , sikushangai
 
Yan makolo mlitaka max nzengeli siku yake kwanza mmuone kwa elfu 3!
Fungulia mbwa ilikuwa ya nn.

Viingilio lazima viendane na Hali za Watu wako. Hiyo ndiyo akili.

Kuibiwa simu Ni ezembe na uzuzu wako.

Nb:wenye akili utopoloni Ni 2 TU na hawajawahi kuongezeka.
 
Watu wa chadema ndo hapa wanapofeli kila kitu kwao lazima waingizie siasa.

Kuna jamaa yeye anaichukia kabisa rangi ya njano na kijani, unaweza hata kua adui yake namba 1 kama tu ni shabiki wa yanga na kwakujua kua yanga inatumia rangi hizo.

Ni mbwembwe gani hasa ulizokua unazihitaji toka kwa Manala??
Huyo Zembwela na Kitenge wao walikua kwenye kutambulisha wachezaji tuu, show nzima tangu mchana hawakusimamia wao, unasemaje walipwaya??

Msanii gani aliimba matusi?? Msanii gani alitukana, wasanii wengi kama sio wote walikua na nyimbo spesheli kwa ajili ya yanga.

Yanga hawakutaka watu wengi kwenye hilo tamasha mbona ni akili ya kawaida tu kulijua hilo mkuu!! Last time uwanja ulitapika mpaka watu waliuana humo.

Dp world inawatoa akili walah.
 
Mpira ni starehe and always starehe ni gharama kama unaipenda timu yako unashindwa kiuchangia elf 10 then unataka timu isajiri wachezaji wazuri
ZUNGUMZIA Ile fungulia mbwa kidogo lengo lilikua Ni Nini. Wewe unaejua gharama za starehe!

Shirikisho ubongo kabla ya kuandika
 
Fungulia mbwa ilikuwa ya nn.

Viingilio lazima viendane na Hali za Watu wako. Hiyo ndiyo akili.

Kuibiwa simu Ni ezembe na uzuzu wako.

Nb:wenye akili utopoloni Ni 2 TU na hawajawahi kuongezeka.
20230720_133653.jpg

Juzi tuliadhimisha siku ya mbu3 duniani
 
Nimefuatilia Siku ya Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa , kiukweli haikufana kama ilivyotarajiwa , sielewi hasa kilichotokea , lakini kukosekana kwa Haji Manara kunaweza pia kuwa kumechangia kukosekana ama kupunguza Shamra shamra kwa kiasi fulani , Maulid Kitenge na Zembwela hawakutosha kuongoza shughuli ile kubwa , hawana mvuto , hasa baada ya kashfa ya Mkataba wa Bandari , hawaaminiki tena .

Wako wengine waliodai kwamba Ukubwa wa kiingilio ni sababu muhimu ya uwanja kupwaya , hasa ikizingatiwa anguko kubwa la Uchumi wa Wananchi wa Tanzania na hasa Wakazi wa Temeke , hili Yanga wanapaswa kujifunza , si rahisi kwa mtu aliyeshindia mihogo au chai kavu ya Rangi kulipa kiingilio cha tsh elfu 10 .

Jambo lingine lililodororesha siku ya Mwananchi ni Kukosekana kwa burudani bora ya Muziki , hasa baada ya Wasanii Wahuni kupewa nafasi ya kuimba nyimbo zenye matusi , labda kwa faida ya wengi ni kwamba kwenye kadamnasi kama ile , Burudani ni sehemu muhimu mno , uwanja ule ulikuwa umejaa watu wengi wazima sana , kualika Wasanii Wahuni wanaoimba matusi bila kujali walio mbele yao , kulikatisha tamaa wadau wengi waliokuwa wanaangalia kwenye TV na kuwafanya waendelee kubaki nyumbani , hapa ndipo wanamuziki wa Congo wanapowazidi wasanii wa kibongo , watu wengi wanapenda burudani , hawataki matusi na lugha za hovyo , Kwa hili Yanga Mmefeli sana , mbona bado nchi hii ina wasanii wakali wengi tu , kwanini mmetuletea Takataka hizi leo ?

Wakati mwingine mnapoandaa mambo haya chukueni ushauri wa wadau wa burudani , ukichagua msanii kwa sababu ana followers wengi Instagram au Twitter utapotea .
Yani kuna watu walikua wana sura chachu sana jana
 
Japo wanayanga wengi watakupinga naungana na wewe kwa asilimia zote.
Mawazo uliyoyaibua yana ukweli bila shaka wakifanya tathimini watakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom