Mtajaza nyie, sisi lengo letu haikua kujaza watu ni mapato kila mtu a stick kwenye plan yakePamoja na fungulia mbwa lakinj bado hawakujaa
Matola nilikutarajia uje hivi , sikushangaiUsilete siasa kwenye starehe, mpira ni starehe na starehe ni gharama.
Kwenye show za muziki watu huwa wanalipia kiingilio kwa meza ya watu 10 shilling million 1.
Usidhani wachezaji wanasajiliwa kwa ruzuku za Chadema au join the chain.
Kama ndivyo mbona mlifungulia mbwa.Huwezi kumtaza live
Max zegeli
Kwa elfu mojaa
Subiri simba day kiingilio buku mtajaa kama nzi
Jamaa kila jukwaa anatamani liongelee siasa, sijui mnyaki wa wapi huyu?Lengo la uzi wako hapo ilikua ni kumtaja kitenge na zembwela plus bandari...zingne ni porojo tu
Mbwa zenyewe si ni wewe?Kama ndivyo mbona mlifungulia mbwa.
Malengo ya wengine ni kujaza na mapato juuMtajaza nyie, sisi lengo letu haikua kujaza watu ni mapato kila mtu a stick kwenye plan yake
Kila mtu akae kwenye malengo yakeMalengo ya wengine ni kujaza na mapato juu
Msinidhibiti na kunipangia majukwaa , mtakuwa mnakosea sana sanaJamaa kila jukwaa anatamani liongelee siasa, sijui mnyaki wa wapi huyu?
Fungulia mbwa ilikuwa ya nn.Yan makolo mlitaka max nzengeli siku yake kwanza mmuone kwa elfu 3!
ZUNGUMZIA Ile fungulia mbwa kidogo lengo lilikua Ni Nini. Wewe unaejua gharama za starehe!Mpira ni starehe and always starehe ni gharama kama unaipenda timu yako unashindwa kiuchangia elf 10 then unataka timu isajiri wachezaji wazuri
Huwezi kunielewa IQ yako ni ndogo sana baki na ujinga wakoZUNGUMZIA Ile fungulia mbwa kidogo lengo lilikua Ni Nini. Wewe unaejua gharama za starehe!
Shirikisho ubongo kabla ya kuandika
Fungulia mbwa ilikuwa ya nn.
Viingilio lazima viendane na Hali za Watu wako. Hiyo ndiyo akili.
Kuibiwa simu Ni ezembe na uzuzu wako.
Nb:wenye akili utopoloni Ni 2 TU na hawajawahi kuongezeka.
Yani kuna watu walikua wana sura chachu sana janaNimefuatilia Siku ya Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa , kiukweli haikufana kama ilivyotarajiwa , sielewi hasa kilichotokea , lakini kukosekana kwa Haji Manara kunaweza pia kuwa kumechangia kukosekana ama kupunguza Shamra shamra kwa kiasi fulani , Maulid Kitenge na Zembwela hawakutosha kuongoza shughuli ile kubwa , hawana mvuto , hasa baada ya kashfa ya Mkataba wa Bandari , hawaaminiki tena .
Wako wengine waliodai kwamba Ukubwa wa kiingilio ni sababu muhimu ya uwanja kupwaya , hasa ikizingatiwa anguko kubwa la Uchumi wa Wananchi wa Tanzania na hasa Wakazi wa Temeke , hili Yanga wanapaswa kujifunza , si rahisi kwa mtu aliyeshindia mihogo au chai kavu ya Rangi kulipa kiingilio cha tsh elfu 10 .
Jambo lingine lililodororesha siku ya Mwananchi ni Kukosekana kwa burudani bora ya Muziki , hasa baada ya Wasanii Wahuni kupewa nafasi ya kuimba nyimbo zenye matusi , labda kwa faida ya wengi ni kwamba kwenye kadamnasi kama ile , Burudani ni sehemu muhimu mno , uwanja ule ulikuwa umejaa watu wengi wazima sana , kualika Wasanii Wahuni wanaoimba matusi bila kujali walio mbele yao , kulikatisha tamaa wadau wengi waliokuwa wanaangalia kwenye TV na kuwafanya waendelee kubaki nyumbani , hapa ndipo wanamuziki wa Congo wanapowazidi wasanii wa kibongo , watu wengi wanapenda burudani , hawataki matusi na lugha za hovyo , Kwa hili Yanga Mmefeli sana , mbona bado nchi hii ina wasanii wakali wengi tu , kwanini mmetuletea Takataka hizi leo ?
Wakati mwingine mnapoandaa mambo haya chukueni ushauri wa wadau wa burudani , ukichagua msanii kwa sababu ana followers wengi Instagram au Twitter utapotea .
ikawaje ?Yani kuna watu walikua wana sura chachu sana jana
Japo wanayanga wengi watakupinga naungana na wewe kwa asilimia zote.Nimefuatilia Siku ya Yanga kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa , kiukweli haikufana kama ilivyotarajiwa , sielewi hasa kilichotokea , lakini kukosekana kwa Haji Manara kunaweza pia kuwa kumechangia kukosekana ama kupunguza Shamra shamra kwa kiasi fulani , Maulid Kitenge na Zembwela hawakutosha kuongoza shughuli ile kubwa , hawana mvuto , hasa baada ya kashfa ya Mkataba wa Bandari , hawaaminiki tena .
Wako wengine waliodai kwamba Ukubwa wa kiingilio ni sababu muhimu ya uwanja kupwaya , hasa ikizingatiwa anguko kubwa la Uchumi wa Wananchi wa Tanzania na hasa Wakazi wa Temeke , hili Yanga wanapaswa kujifunza , si rahisi kwa mtu aliyeshindia mihogo au chai kavu ya Rangi kulipa kiingilio cha tsh elfu 10 .
Jambo lingine lililodororesha siku ya Mwananchi ni Kukosekana kwa burudani bora ya Muziki , hasa baada ya Wasanii Wahuni kupewa nafasi ya kuimba nyimbo zenye matusi , labda kwa faida ya wengi ni kwamba kwenye kadamnasi kama ile , Burudani ni sehemu muhimu mno , uwanja ule ulikuwa umejaa watu wengi wazima sana , kualika Wasanii Wahuni wanaoimba matusi bila kujali walio mbele yao , kulikatisha tamaa wadau wengi waliokuwa wanaangalia kwenye TV na kuwafanya waendelee kubaki nyumbani , hapa ndipo wanamuziki wa Congo wanapowazidi wasanii wa kibongo , watu wengi wanapenda burudani , hawataki matusi na lugha za hovyo , Kwa hili Yanga Mmefeli sana , mbona bado nchi hii ina wasanii wakali wengi tu , kwanini mmetuletea Takataka hizi leo ?
Wakati mwingine mnapoandaa mambo haya chukueni ushauri wa wadau wa burudani , ukichagua msanii kwa sababu ana followers wengi Instagram au Twitter utapotea .
Na wewe ulikuwa mbwa kati ya wale mbwaKama ndivyo mbona mlifungulia mbwa.