Rocco sifredi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 100
- 197
Yani huyu mwamba wa zambia budo mutale wakati amefika alijitahidi ila baada ya hapo sasa imekua kila mpira ataopata ni atoe pasi mkaa mbovu au anyang'anywe mpira amekosa kabisa utulivu yani mkiwa uwanjani inakua kama vile anawakaba
Na fadlu naye anampenda sijui anaona kitu gani kwake ambacho wengine hatukioni ana papara zisizo na maana Leo sub yake ilikua ya hovyo kabisa kama ni kupewa muda kashapewa vya kutosha apewe tu thank you kwa maslahi mapana ya timu simba inahitaji wachezaji ambao tayari wapo tayari kutoa impact kwa timu na sio mtu anafika ndo mumpe muda ajipange
kuna wachezaji kama wakina karabaka hata benchi huwaoni ila mutale yumo inafikirisha kwakweli pia kwenye no 10 binafsi naona ahoua bado sana labda tulikua na matarajio makubwa kuliko uwezo wake au bado tunamfanisha na chama mnaosema takwimu zinambeba angalia takwimu zake ni za aina gani utakuta ni fouls penalty na kwenye mechi rahisi mkiwa na mechi ngumu anapotea kabisa hakupi kile ambacho tulitegemea walau
DIRISHA LIPO WAZI ATAFUTWE PLAYMAKER MWINGINE WA KUTOA CHANGAMOTO PIA MUTALE DAH AENDE TU KWAKWELI